This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Wahusika
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
Kiingereza hadi Kiswahili: Parts of a desktop computer/ sehemu za tarakilishi ya mezani General field: Teknolojia/Uhandisi Detailed field: Tarakilishi (jumla)
Matini asilia - Kiingereza A desktop computer is the type of a computer that has its parts separately made. When in use, the parts of a desktop computer are usually connected to each other using special cables. These parts include the Monitor, Keyboard, Mouse and a System Unit.
Tafsiri - Kiswahili Tarakilishi ya mezani ni aina ya kompyuta ambayo sehemu zake zimeundwa zikiwa zimetenganishwa. Wakati wa matumizi, sehemu hizo huunganishwa kwa kutumia kebo maalum. Sehemu hizi ni kama vile Kiwambo, Kibodi, Kipanya na Kitengo kikuu cha uchakataji.
Kiingereza hadi Kiswahili: Coding General field: Teknolojia/Uhandisi Detailed field: Tarakilishi: Programu
Matini asilia - Kiingereza Title: What is Coding?
Coding is the language that computers understand. It tells the computer what to do, step by step. Just like we use English or Swahili to talk to people, we use programming languages to talk to computers.
Children can learn coding through simple tools like Scratch or Blockly. These tools use colorful blocks to create games, animations, and stories. Coding helps children become creative, solve problems, and think logically.
Tafsiri - Kiswahili Kichwa: Usanidi ni Nini?
Usanidi ni lugha ambayo kompyuta inaweza kuelewa. Inaiambia kompyuta cha kufanya, hatua kwa hatua. Kama vile tunavyotumia Kiingereza au Kiswahili kuwasiliana na watu, tunatumia lugha za programu kuzungumza na kompyuta.
Watoto wanaweza kujifunza usanidi kupitia zana rahisi kama Scratch au Blockly. Zana hizi hutumia vigae vya rangi kutengeneza michezo, michoro inayoonyesha harakati, na hadithi. Usanidi huwasaidia watoto kuwa wabunifu, kutatua matatizo, na kufikiri kwa mpangilio.
Kiingereza hadi Kiswahili: Discovering Computer Hardware
Matini asilia - Kiingereza Title: The Magic Inside a Computer
Have you ever wondered what makes a computer work? Inside that sleek machine is a team of tiny parts called hardware. Each part has a special job, just like players in a soccer team.
The CPU is the brain—it thinks and makes decisions. The RAM is the short-term memory, helping the computer remember things while it works. The hard drive stores your photos, music and documents. The motherboard connects everything, like a road linking cities.
Even the mouse, keyboard, and monitor are part of the hardware family. Without hardware, a computer would just be an empty shell.
Tafsiri - Kiswahili Kichwa: Uchawi Ulio Ndani ya Kompyuta
Je, umewahi kujiuliza ni nini huifanya kompyuta ifanye kazi? Ndani ya kifaa hicho maridadi kuna timu ya sehemu ndogo ndogo zinazoitwa vifaa vya kompyuta. Kila sehemu ina kazi maalum—kama wachezaji katika timu ya soka.
CPU ni kama ubongo—hufikiri na kufanya maamuzi. RAM ni kumbukumbu ya muda mfupi, inayosaidia kompyuta kukumbuka vitu inapofanya kazi. Hifadhi kuu huhifadhi picha zako, muziki na nyaraka. Ubao mama huunganisha kila kitu, kama barabara inayounganisha miji.
Hata kipanya, kibodi na kiwambo ni sehemu ya familia ya vifaa. Bila vifaa, kompyuta isingekuwa chochote zaidi ya ganda tupu.
More
Less
Elimu ya Tafsiri
Bachelor's degree - Jomo Kenyatta
Tajiriba
Miaka ya tajiriba ya tafsiri: 8. Umesajiliwa katika ProZ.com: Aug 2023.
Adobe Acrobat, Adobe Illustrator, Adobe Photoshop, Indesign, Microsoft 365, Microsoft Excel, Microsoft Word, MovieCaptioner, Pagemaker, Powerpoint, ProZ.com Translation Center
As a seasoned Swahili-English translator and interpreter with five years of proven experience, I am your go-to solution. I have honed my skills in diverse freelancing projects, ensuring accurate and culturally nuanced translations. Let us collaborate and deliver exceptional Swahili language services that exceed your expectations.