Mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com

« Rudi katika maskani ya ProZ.com


Certified translators

Certified translations are sometimes required for official purposes. What constitutes "certification" in translation differs from place to place (ie. the regulations in th United States are different than they are in Canada or the UK), and sometimes there are legal implications. The ProZ.com "certified pro network" is a network of professional translators (many of them freelancers) who have either been certified by a professional association, or who have been screened by professional peers. It is possible to search among this network for certified translators (or "sworn translators") who have the qualifications you require. Many show their rates or offer free quotes through their profiles.

Mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa

ProZ.com ni nini?

Mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com ni uanzilishi wa jamii ya ProZ.com,kusudio lake likiwa kutambua watafsiri waliofuzu katika makundi lugha mbalimbali, na kuwapatia chaguo la kutangamana na kushirikiana katika mazingira yaliyo na wataalamu kwa kiasi kikubwa waliotathminiwa. Wale wanaokubaliwa katika mtandao huu huweza kupata taji la “WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com” pamoja na nembo, ambayo inaweza kuonyeshwa kwa hiari katika kurasa za umbo na kokote kule katika tovuti ya ProZ.com

Ni nini manufaa ya kushiriki katika mtandao huu?

Kushiriki katika mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com kutakupa mbinu mpya na zenye nguvu za kuwawezesha wataalamu bora kujitofautisha kwa njia hiyo, na kuweza si tu kuonyesha uwezo wao wa kipekee( katika kwenda sambamba na viwango chapishwa vya kiwanda hiki), lakini pia kupitia kwa uhakiki wa marika/wateja/watoaji huduma na, pengine hivi karibuni ufuatilizi kuwahusu uliodhibitishwa. Kwa kadri muda wanavyosonga, mtandao huu utatoa njia rahisi zaidi ya wataalamu bora na kampuni bora kuweza kukutana na kufanya kazi, hususan kama kazi hiyo lazima ifanywe inavyotakikana na kulipwa vilivyo.Mahitaji ya kuidhinishwa ni yapi?Watafsiri marijojo


 1. Uwezo wa kutafsiri *
  1. Uwezo katika lugha asilia
  2. Uwezo katika lugha lengwa
  3. Uwezo katika utafiti
  4. Uwezo wa kitamaduni
  5. Uwezo wa kiufundi
 2. Utegemezi wa biashara
 3. Uraia mzuri


* Kulingana na EN 15038


Kumbuka : uanachama kamilifu wa kitaalamu wa ProZ.comunahitajika ili kukubaliwa kwenye mtandao waa WATAALAMU Walioidhinishwa; zaidi ya hapo,hakuna ada yoyote ya ziada kushiriki.
Your PRO status
Bado halijawasilishwa


Kwa nambari

Utathmini wa mtandao sasa unaendelea. Mpaka sasa kuna:

4307

Marijojo WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com


Kile watu wanasema

I am thrilled and honored to participate in this great initiative!

I believe it is a good way to present highly qualified people to prospective clients, and make them feel reassured that they are dealing with professionals who will have their best interest in mind.

This program is something I have been waiting for.