Mahitaji ya marijojo





Sehemu 3 zaelezwa


01 Uwezo wa utafsiri

Mchakato wa utathmini umeundwa kulingana na miongozo iliyowekwa wazi katika kiwango cha ubora wa tafsiri cha EN 15038. Kwa watafsiri, mbinu mbalimbali zinatumiwa ili kudhibitisha “uwezo” unaotakikana katika EN 15038, ikiwemo udhibitishwaji wa vyeti ambavyo watumaji ombi wamepata kutoka kwenye vyama kote ulimwenguni, kama vile American Translators Association (MAREKANI), Chartered Institute of Linguists (UINGEREZA). (Sampuli ya tafsiri, uhakiki wa rika/teja na data nyingine huenda ikatiliwa maanani katika mchakato wa hakiki, hususan katika makundi lugha ya maeneo ambayo vyeti hivyo vimefanyiwa uchunguzi na haviwezi kupatikana kwa urahisi.)

02 Utegemezi wa biashara

Kitu cha pili kinachohitajika ili kukubaliwa kwenye programu ni utegemezi wa biashara. Hii inatathminiwa kupitia katika mseto wa uhakiki wa marika, uhakiki wa wateja na kutilia maanani data inayofaa kutoka kwenye hifadhi data ya ProZ.com. Katika hali ya makampuni, mfuatilio wa utenda kazi yakiwa wagavi na wanunuzi huenda ikatiliwa maanani. Punde unapokubaliwa kwenye programu, washiriki lazima waendeleze jina zuri ili kuendelea kuwa katika programu.

03 Uraia mzuri

Kitu cha tatu kinachohitajika ili kukubaliwa katika programu hii ni “uraia mzuri”. Washiriki lazima wakubali na watende kwa njia ambayo inaenda sambamba na ya ProZ.com ambayo ni , lazima wakubali kanuni na masharti ya kushiriki katika programu, na lazima wachangie katika kuiendeleza programu kwa kubakia kuwa na jina jema wakiwa wanachama, kuhusiana na ada ya wanachama, data ya umbo na kuafikiaana na sheria na kanuni za tovuti na programu.



Dondoo kutoka katika kiwango cha EN 15038 cha ubora katika kiwanda cha tafsiri

3.2.2 Uwezo wa kitaalamu wa watafsiri

Watafsiri watakuwa na angaa uwezo ufuatao.

  1. Uwezo wa kutafsiri
  2. Uwezo wa kiisimu na matini katika lugha asilia na lugha lengwa
  3. Uwezo wa utafiti, upataji taarifa na uchakataji wake
  4. Uwezo wa kitamaduni
  5. Uwezo wa kiufundi


Uwezo uliotajwa hapo juu unafaa kupatikana kwa moja au zaidi ya yafuatayo:

  • elimu rasmi ya juu zaidi katika tafsiri,( shahada inayotambulika);
  • kufuzu kama huko katika mada yoyote mengine pamoja na kiwango kidogo zaidi cha miaka miwili ya uzoefu unaoweza kuthibitishwa katika kutafsiri;
  • angaa miaka mitano ya uzoefu wa kitaalamu unaoweza kuthibitishwa katika kutafsiri


Note: ProZ.com professional membership is required for admittance into the Certified PRO Network for freelance translators and ProZ.com business membership is required for businesses; beyond that, there is no additional charge for participation.

Your PRO status
Bado halijawasilishwa


Kwa nambari

Utathmini wa mtandao sasa unaendelea. Mpaka sasa kuna:

4633

Marijojo WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com


Kile watu wanasema

I strongly believe this initiative will help meet new challenges in the translation market.
Rodion Shein
Shirikisho la Urusi

I'm very honored and I hope that this new initiative will be useful both for us translators, and for our clients.
sofijana
Seribia

The group is made of very intelligent, challenging, and articulate Prozians who have already left their mark.