Certified translators

Certified translations are sometimes required for official purposes. What constitutes "certification" in translation differs from place to place (ie. the regulations in th United States are different than they are in Canada or the UK), and sometimes there are legal implications. The ProZ.com "certified pro network" is a network of professional translators (many of them freelancers) who have either been certified by a professional association, or who have been screened by professional peers. It is possible to search among this network for certified translators (or "sworn translators") who have the qualifications you require. Many show their rates or offer free quotes through their profiles.

Mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa

ProZ.com ni nini?

Mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com ni uanzilishi wa jamii ya ProZ.com,kusudio lake likiwa kutambua watafsiri waliofuzu katika makundi lugha mbalimbali, na kuwapatia chaguo la kutangamana na kushirikiana katika mazingira yaliyo na wataalamu kwa kiasi kikubwa waliotathminiwa. Wale wanaokubaliwa katika mtandao huu huweza kupata taji la “WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com” pamoja na nembo, ambayo inaweza kuonyeshwa kwa hiari katika kurasa za umbo na kokote kule katika tovuti ya ProZ.com

Ni nini manufaa ya kushiriki katika mtandao huu?

Kushiriki katika mtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com kutakupa mbinu mpya na zenye nguvu za kuwawezesha wataalamu bora kujitofautisha kwa njia hiyo, na kuweza si tu kuonyesha uwezo wao wa kipekee( katika kwenda sambamba na viwango chapishwa vya kiwanda hiki), lakini pia kupitia kwa uhakiki wa marika/wateja/watoaji huduma na, pengine hivi karibuni ufuatilizi kuwahusu uliodhibitishwa. Kwa kadri muda wanavyosonga, mtandao huu utatoa njia rahisi zaidi ya wataalamu bora na kampuni bora kuweza kukutana na kufanya kazi, hususan kama kazi hiyo lazima ifanywe inavyotakikana na kulipwa vilivyo.



Mahitaji ya kuidhinishwa ni yapi?



Watafsiri marijojo


  1. Uwezo wa kutafsiri *
    1. Uwezo katika lugha asilia
    2. Uwezo katika lugha lengwa
    3. Uwezo katika utafiti
    4. Uwezo wa kitamaduni
    5. Uwezo wa kiufundi
  2. Utegemezi wa biashara
  3. Uraia mzuri


* Kulingana na EN 15038


Note: ProZ.com professional membership is required for admittance into the Certified PRO Network for freelance translators and ProZ.com business membership is required for businesses; beyond that, there is no additional charge for participation.




Your PRO status
Bado halijawasilishwa


Kwa nambari

Utathmini wa mtandao sasa unaendelea. Mpaka sasa kuna:

3972

Marijojo WATAALAMU Walioidhinishwa wa ProZ.com


Kile watu wanasema

Since I am member of the ProZ.com Certified PRO Network, I can't stop working and I have got more and more outsourcers which pick my quotes and visit my profile. Just amazing!

I have just been awarded the Certified Pro tag. For the moment I just wanted to share my enthusiasm for being accepted in this program. I am happy to be in this network!
Maria Rosa Fontana
Utaliano/Italia

I believe it is a good way to present highly qualified people to prospective clients, and make them feel reassured that they are dealing with professionals who will have their best interest in mind.