Education


Muhtasari wa aina tofauti za kozi za mafunzo, webinari na nyenzo za kielimu vinapatikana kwa wafasiri na wakalimani kwenye ProZ.com.


Kozi zinazohitajika

Mafunzo ya kujipimia muda: Mafunzo ya mtandaoni unaweza kuchukua kwa nafasi yako.
Mafunzo ya mmoja-na-mwingine: Kozi hizi zinaweza kutumia Skype, barua pepe, au ubadilishanaji mwingine uliokubaliwa kulingana na mifumo ya uendeshaji.
Video: Video za mada mbalimbali zinazohusiana na kiwanda cha tafsiri.

Kozi ratibiwa

Wavumina: Maonyesho ya mtandaoni hufanyika kwa muda wa kweli katika darasa la mtandaoni.
Mafunzo ya mtandaoni: Sawa na webinari, vikao vya mafunzo ya mtandaoni kwa kawaida ni virefu zaidi, vyenye mwingiliano zaidi, na hutoa nyenzo za kupakulika zaidi.
Mafunzo ya mtu binafsi: Vikao vya ana kwa ana ambavyo humalizika kati ya siku 1 hadi 2 na hutokea katika miji duniani kote.
Mafunzo ya SDL Trados: Jifunze namna ya kufaidika zaidi na bidhaa zako za SDL Trados kutoka kwa wakufunzi waliothibitishwa wa SDL Trados.

Eneomaarifa

Kiwanda cha tafsiri cha wiki: Huwawezesha watumiaji wa ProZ.com kuleta pamoja na kushirikiana elimu yao ya pamoja ya mada za sekta ya tafsiri. Mada hizo huenda zikajumuisha jinsi ya kuanza sekta hiyo, matatizo ya kodi katika nchi mbalimbali, zana za kufasiria CAT, ubora wa tafsiri, n.k.
Makala: Mkusanyiko wa mtandaoni wa makala na elimu inayohusika na mada zenye kuwavutia wafasiri, wakalimani, na wataalamu wengine wa lugha.
Vitabu: Vitabu vinavyohusiana na tafsiri vinauzwa katika ProZ.com.


Muhtasari wa tovuti

Mtazamo wa haraka wa vipengele vinavyopatikana katika ProZ.com
All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search