Muhtasari wa mifumo ya kazi na anwani katika ProZ.com
Kwa zaidi ya watumiaji 375,000 wa ProZ.com waliosajiliwa, ProZ.com ni maskani ya jamii kubwa zaidi ya wafasiri na wakalimani. Anwani nyingine hujumuisha makampuni ya tafsiri, wasambazaji wa kazi za lugha (na maoni kutoka kwa wafasiri,) wanafunzi, na zaidi.
Mfumo wa kutangaza kazi kwa wasambazaji wanaotafuta makadirio ya bei kutoka kwa wataalam wa lugha. Pokea barua pepe wakati kazi zinazokuvutia zimetangazwa. Mfumo wa kazi unahusiana kwa karibu na Bodi ya Bluu ambayo ni hifadhidata ya wasambaza wa kazi za lugha na maoni kutoka kwa watoa huduma.