Muhtasari wa zana za istilahi katika ProZ.com
Tafuta mamilioni ya istilahi zilizofasiriwa na misemo kwenye KudoZ™, faharasa za mtumiaji na zaidi.
KudoZ™ huwapa wafasiri wa kitaalamu, na wengine, njia ya kuomba na kushiriki msaada wa kutafsiri juu ya maneno ambayo ni mapya sana au maalumu kuonekana katika faharasa nyingi au kamusi. Mfumo wa uhakika unaongeza raha na kuwatunuku watafsiri wanaoshiriki nafasi bora ya saraka katika nyanja zao za utaalamu.%
KudoZ % ™ inatolewa na ProZ.com kama huduma ya kupendeza kwa watafsiri na wapenzi wa lugha. Ni bure kabisa kutumia.
GlossPost ni hifadhidata inayotafutika ya viungo vya kwenda kwenye faharasa katika Wavuti. Imekusanywa na wanachama wa ProZ.com na wa YahooGroup wenye jina hilohilo lililoundwa Februari 2000 na mfasiri wa Kibrazili na mkalimani wa mkutano Maria Eugenia Farre. Hifadhidata hio huimarishwa na kundi la wasimamizi wenye kujitolea, hata hivyo mtumiaji yeyote wa ProZ.com anaweza kutafuta hifadhidata hio na kutuma URLs mpya za faharasa.