This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
ProZ.com midahalo ni eneo la majadiliano wazi ya watumiaji wa ProZ.com. Ili kujadiliana kuhusu mada za mapendeleo linganifu katika umbizo usopangwa kwa kiasi hitajika.
Midahalo ya ProZ.com inatolewa kwa ajili ya mijadala kuhusiana na nyuga za utafsiri na ukalimani, kwa ProZ.com, au kwa jamii ya ProZ.com. haijatolewa kwa madhumuni mengine. Ufafanuzi zaidi kwa ukamilifu kuhusu upeo wa midahalo umewekwa katikahere.
Kanuni 11 ya mdahalo inasema kwamba midahalo haifai kutumika kwa uchapishaji wa maswala ambayo yanamaeneo wakfu katika tovuti. Haswa:
Usaidizi wa istilahini ya eneo la KudoZ
Matangazo na fursa za kazi yanafaa kuchapishwa katikaMaeneo ya kazi
Kubadilishana kwa bidhaa za rika-kwa-rika na huduma zinafaa kwenda katikaExchange
Majibu kwa mtoajikazi yanafaa kuchapishwa katikaBlue Boardkama masharti yaliyosemwa katika kanuni husiani zinazingatiwa.
Majibu kwa marijojo yanaweza kuchapishwa katika nyuga husianizaWWAkatika maumbo yao
Maswali au malalamishi kuhusu matumizi mabaya ya tovuti, msimamizi au hatua za kiutawala zinafaa kuelekezwa katikasupport system
Kanuni za Mdahalo zimeunganishwa kutoka kwenye midahalo. Watumiaji lazima wakubali Kanuni hizi kama njia ya utumaji.
4 - Nitafanya nini iwapo nitaona sheria za tovuti zikikiukwa kwenye mdahalo?
Kwenye tukio hili elekeza swala hili kwa msimamizi wa mdahalo au mhudumu wa tovuti. Kwa kila chini ya ukurasa wa eneo la mdahalo utaona kabrasha dogo na jina la msimamizi(wa) husuka na kiungo cha “Piga simu kwenye mada hii”
Unapobofya kwenye kiungo hiki, kabrasha dogo litafunguka kukuruhusu ueleze sheria ambazo unahisi zilikiukwa kwenye eneo. Huu ni uga wa lazima. Ukiwasilisha taarifa hii itajumuishwa kwenye baruapepe ya umbo itakayowasilishwa kwa msimamizi.
Wasiliana na mhudumu wa tovuti kuhusu swala hili ku pitia kwenye support request, kwa mdahalo ambao hauna msimamizi aliyeidhinishwa.
5 - Kwa nini mazungumzo ya vitendo vya kiutawala kutekelezwa kupitia mfumo wa msaada na si katika midahalo?
Usimamizi wa midahalo ya tovuti si kazi rahisi. Wakati mwingine, wasimamizi hukabiliwa na hali katika mnyororo hadi wanahisi si sahihi na kwamba inahitaji hatua ya haraka. Pia, inaweza kutokea kwamba, wakati wa kuamua juu ya hatua zinazofaa zaidi kwa kuchukua kama minyororo,hakuna msimamizi mwingine mwenzake ako karibu kuangalia, na kumlazimu msimamizi kuchukua hatua aminifu na vizuri maana kwamba wao kuzingatia sahihi zaidi.
Vitendo hivi, hata hivyo, inathibitisha kuwa sio sahihi wakati wa kutathmini baadaye, bila shinikizo, na hii ni kwanini kuwasiliana na wafanyakazi wa tovuti kuomba kutathmini upya tena na vitendo vya kiutawala zilizochukuliwa na wasimamizi kunasitizwa
Uzoefu umeonyesha kuwa kujadili vitendo vya wasimamizi 'kama vikao kimsingi vinazalisha hisia zaidi mbaya bila kutatua masuala yanayokabiliwa.
Kulingana na ufikaji wao kuna aina nne za midahalo:
Midahalo wazi: Mtumiaji yeyote aliyesajiliwa wa ProZ.com anaweza kutuma, na wasilisho linaweza kusomwa na mtu yeyote, ikijumuisha injini tafutizi
Wanachama-pekee wa midahalo: ufikivu kwa wanachama wa tovuti pekee.
Midahalo zuiliwa: Ufikivu kwa wasimamizi pekee.
Midahalo ya siri: kuwa na “mmiliki” na ufikivu kwa watumiaji wa tovuti pekee inayojumuishwa katika orodha ya ufikivu (kama ilivyofafanuliwa na mmiliki)
7 - Je, machapisho ya midahalo huchunguzwa?
Uwekaji wa midahalo kutoka kwa wanachama na watumiaji walio na utambulisho hakiki huonekana mara moja. * Uwekaji kutoka kwa wengine huangaliwa kabla ya kuonyeshwa. Mengi ya mawasilisho yanapitishwa ndani ya saa 12.
* Ufikivu wa vipengele vya mtandao, ambavyo vinaathiri wanachama wengine, vinaweza kubadilishwa au kukataliwa kwa raha za timu ya ProZ.com.
8 - Ni vipi nitawasilisha kwenye midahalo?
Ili kuanzisha eneo jipya kwenye mdahalo tembelea ukurasa wake na bofya kwenye kiungo “Wasilisha mada mpya” sehemu ya juu kushoto ya kiwambo. Hii itakuonyesha kidirisha kiwasilishi ambapo utaandika mada nzuri kwenye uga wa “Kipengele Mada” (masharti yametolewa kwenye ukurasa huo) na sehemu mawasilisho kwenye uga “Sehemu ya mada:”
Iwapo awamu iliopangwa itakuwa juu ya mada kubalivu sizizohusishwa zinavyoelezwaDefinition of ProZ.com's Scope bofya kwenye kabrasha “Wasilisho hili liko`nje-ya-mada` i.m. mchezo mwingi kuliko kazi.”
Ili kujibisha kwenye mtungo ulilopo tayari bofya kwenye kibonyezi “Jibisha / toa maoni” ili kuunda wasilisho jipya au kwenye kiungo “Jibisha na nukuu” ndani ya wasilisho la awali ili kujibisha katika wasilisho hili kuliweka kwenye kabrasha ndani ya jibisho lako.
9 - Je, ninateua aje midahalo ambayo ningependa kuona ikiorodheshwa kwenye ukurasa maskani?
Nenda katika yako ya mdahalo wa dashboard yako na ubofye kenye kitufe cha “Ukurasa maskani ya midahalo”. Hapo unaweza kuteua midahalo ambazo ungepenga zionekane katika ukurasa maskani.
Ili kuona taarifa fupi ya kuanzisha kwa dashboard ya mdahalo na makala yake, angalia video hii.
10 - Nina swali ningependa kuwasilisha kwenye midahalo. Ni njia ipi nzuri kuhakikisha kuwa nimepata jibu?
Hivi hapa ni vidokezo utazingatia unapowasilisha maswali kwenye midahalo.
Tafutiza mdahalo kabla ya kuwasilisha. Kuna majadiliano kamili kuhusu midahalo kwa mada tofauti tofauti na shida ambazo tutakabiliana kila siku tukiwa watafsiri. Nafasi ni kuwa shida yako huenda imejadiliwa mara nyingi na suluhisho likapendekezwa. Ili kutafutiza mdahalo nenda kwenye kichupo cha Jumuia; Tafuta mdahalo ni kipengee cha pili kutoka juu.
Chagua mdahalo sawia/unaofaa ili kuwasilisha.Kuna midahalo mingi kwenye tovuti, kwenye vichupo vya jumla, na watumiaji ambao hawajazoea midahalo wakati mwingine huwasilisha kwenye mojawapo ya midahalo ionekanayo sana. Haya usogezwa na wasimamizi kwenye midahalo ifaayo, lakini wasimamizi hukosa wakati mwingine pia. Matokeo: eneo ambalo litavutia zaidi kutoka kwa wageni wa mara kwa mara na wawasilishi wa mdahalo wa kiteknikali wanaweza kukaa kwa miaka katika midahalo inayohusiana na tovuti bila kujibishwa.
Wakati wote toa shida ya malengo/ombi lako kuu kwa muhtasari kwenye kichwa cha eneo.
Wawasilishi wanahitajika kuandika mada kamilifu na ,kuwasilisha kwenye mdahalo unaofaa. Ukamilifu wa Mada ulivyo ndivyo utakavyovutia wenye moyo/msaada kutoka kwa wale watakaojibu.
11 - Ninawezaje kujumuisha vihisishi kwenye mdahalo wangu wa uwekaji?
12 - BBCode ni nini na jinsi gani naweza kukitumia kwenye midahalo?
BBCode ni aina tofauti za lebo za HTML ambazo unaweza kuwa tayari unazifahamu. Kimsingi, inakuwezesha kuongeza utendaji au mtindo kwa ujumbe wako ambao kwa kawaida unahitaji HTML. Unaweza kutumia BBCode hata kama HTML haijawezeshwa kwa mdahalo unaotumia. Unaweza ukataka kutumia BBCode kinyume na HTML, kwa sababu kuna kiwango cha chini cha usimbaji unaohitajika na ni salama kwa matumizi (usimbaji usio sahihi wa sintaksi hautasababisha matatizo mengi kama awali).
URL Hyperlinking
Unaweza kuunda hyperlinks ya kweli kwa kutumia msimbo wa [url]. Tumia tu umbizo ufuatao: [url=http://www.totalgeek.org]totalgeek.org[/url]
Katika mfano wa hapo juu, BBCode huzaa hyperlink kiotomatiki kwa URL ambayo imefunikwa. Pia inahakikisha kwamba kiungo ni wazi katika dirisha mpya wakati mtumiaji anapokibofya. Kumbuka kwamba sehemu ya “http://” ya URL ni ya hiari kabisa. URL ita hyperlink matini kwa URL yoyote utatoa baada ya ishara ya sawa. Pia kumbuka kwamba HUPASWI kutumia alama ya kunukuu ndani lebo ya URL.
Italiki na sura koze
Unaweza kufanya matini iliyoitalikiwa au kufanya matini koze kwa kufunika sehemu husika ya matini yako kwa lebo ama [b] [/ b] au [i] [/ i].
Hujambo, [b]James[/b]
Hujambo, [i]Mary[/i]
Vitone/orodha
Unaweza kufanya orodha zilizo na vitone au orodha zilizo na mpangilio (kwa nambari au herufi).
Isompangiliwa, orodha ya vitone:
[list]
[*] Hii ni kipengee ya kwanza yenye kitone.
[*] Hii ni kipengee ya pili yenye kitone. [/list]
Hii huu zalisha:
Hiki ni kipengee cha kwanza chenye kitone.
Hiki ni kipengee cha pili chenye kitone.
Kumbuka kwamba lazima uingize [/orodha] ya kufungwa wakati unapokamilisha kila orodha.
Kufanya orodha zenye mpangilio ni rahisi pia. Ongeza tu ama [ORODHA=A] au [ORODHA=1]. Kuchapisha [Orodha=A] ita zalisha orodha ya kutoka A hadi Z. Kutumia [Orodha=1] ita zalisha orodha za nambari.
Hapa kuna mfano:
[list=A]
[*] Hiki ni kipengee cha kwanza chenye kitone.
[*] Hiki ni kipengee cha pili chenye kitone. [/list]
Hii huzalisha:
1. Hiki ni kipengee cha kwanza chenye kitone.
2. Hiki ni kipengee cha pili chenye kitone.
Kuongeza Taswira
Ili kuongeza taswira ndani ya ujumbe wako, funika tu URL ya taswira ya mchoro kama inavyoonekana katika mfano ufuatao (BBCode ni red).
Katika mfano wa hapo juu, BBCode huonyesha mchoro kiotomatiki katika ujumbe wako. Kumbuka: sehumu ya http:// ya URL huhitajika kwa msimbo wa [img].
Kunukuu Ujumbe mwingine b>
Kurejelea jambo maalumu ambalo mtu ameweka, tu kata na ubandike verbiage husika na uiambatanishe kama inavyoonekana hapa chini (BBCode ni red).
[QUOTE] Usiulize nini nchi yako yaweza kukufanyia.... uliza ni nini unaweza kufanyia nchi yako.[/QUOTE]
Katika mfano hapo juu, BBCode hu blockquotes kiotomatiki matini unayorejelea.
Kumbuka:
Usitumie zote HTML na BBCode kufanya kazi sawa.
BBCode si case-sensitive (unaweza kutumia [URL] au [url]).
Usiweke nafasi kati ya msimbo zilizo kwenye mabano na matini unayotekelezea msimbo.
Mabano ya mwisho lazima ziwe na ukwaju (k.m. [/url] )
13 - Ninawezaje kupokea taarifa za machapisho ya mdahalo (kufuatilia mdahalo)?
Fahamisho ya uwekaji mpya wa mdahalo unapatikana kwa wanachama wote waliosajiliwa.
Kufuatilia midahalo
Ili kuwawezesha ufuatiliaji wa mdahalo kwa mdahalo wote,tumia machaguo katika sanduku la"Ufuatiliaji wa baruapepe" iliyo kulia wa mdahalo.Unaweza kuchagua kutoka kwa taarifa ya mada mpya iliyochapishwa katika mdahalo,au taarifa ya kila chapisho jipya.Hakikisha kuwa umebofya kitufe cha "Hifadhi mabadiliko" baada ya kuteua.
Kufuatilia tungo moja
Ili kufuatilia tungo moja (wakati haufuatili mdahalo unaomilikiwa nao, kwa mfano), teua tu "Mada hii--machapisho yote" chaguo iliyo kulia wa tungo na bofya kitufe cha "Hifadhi mabadiliko".
Ili Kuachisha ufuatiliaji wa mdahalo au tungo, si-teue chaguo ulilochagua,na ubofye kitufe cha "Hifadhi mabadiliko".
14 - Je, midahalo inafahiriswa kwa injini tafutizi?
Ndiyo. Midahalo mingi ya ProZ.com ni za umma na zaweza kufahirisiwa na injini tafutizi. Kwa jumla, inapendekezwa kwamba yeyote anayetumia Tovuti adhani kwamba lolote atakachoweka kwenye mtandao utaonekana na watu wote kwa muda wote uliosalia.
Ubaguzi mmoja ni midahalo faragha ya ProZ.com, ambayo inaweza kuombwa na wanachama, na ambayo inaweza kufikiwa watu binafsi ambao wameruzukiwa ufikivu waziwazi na mwanachama (wa) wanaomiliki mdahalo wenyewe. Tazamahttp://www.proz.com/faq/3103#3103kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi midahalo faragha inaweza undwa.
15 - Je, inaamuliwa vipi iwapo mtungo wa mdahalo utarejelewa katika ukurasa maskani au la?
Ukurasa maskani ni mahali pasipohamishika halisi na muhimu kwa jamii ya ProZ.com, sana hadi inaamurisha shahada ya juu ya umakinikaji wa mwanachama na wakati. Kwa vutio la kutoa mazingira bora zaidi iwezekanavyo ya mahali pa kazi, wanachama wa ProZ.com hufanyisha mazoezi uthibiti wa uhariri juu ya kile kinachoonekana juu yake (kama ilivyo kawaida uchapishaji).
Uteuzi wa vipengee angaziwa husimamiwa kwa mtindo wa nusu-otomatiki. Kuna haliangazi wailiyoseti wa kiotomatiki kwa mitungo mingi mipya (ikitegemea mdahalo) inayoziruhusu kuonekana katika ukurasa maskani. Hata hivyo, wakati mfanyakazi mwanachama hupatana na mtungo ambao, kwa mfano, ni zaidi ya tikiti au ni wa binafsi kuliko mada ya mjadala, yeye huenda akaondoa mpangilio wa hali angaziwa. Pia, mada yaliyofungwa huenda yakawacha kuangaziwa.
16 - Ni nini mlisho wa RSS kwa midahalo?
RSS ni mkato wa Really Simple Syndication, mwungano wa maumbizo ya Wavuti zinazotumiwa kuchapisha makala yanayosasishwa mara kwa mara kama vile vichwa vya habari au maingizo ya blogi kwa umbizo la kiwango na linaloruhusu kujisajilisha.
Feed reader ni programu ya mteja au kitekelezaji cha Wavuti kinachotumiwa kusajilisha kwayo na kukusanya shirikisho la makala ya wavuti kwenye eneo moja ili kuonekana rahisi.
Unaweza kujisajili kwenye midahalo wazi ya ProZ.com kwenye RSS feed reader kwa kubofya kwenye kibonyezi manjano katika forum page ili kuanza.
Unaweza kujisali ukitumia news reader ile utakayopenda.
Iwapo utakumbana na ugumu wa kunakilisha au una maswali, maoni au kinachokuhusu, tafadhali wasiliana na mhudumu wa tovuti kupitia support request.
17 - Kwa nini njia ya mada yangu ilibadilika?
Wasimamizi na wafanyakazi wa ProZ.com wanaweza hariri mistari ya mada ambaya siyo ya maelezo toshelezi ya maudhui ya chapisho. (Hii inaelezwa katika chapisho na fomu za majibu ,na pia katika kanuni za mdahalo.)
Kwa nini hii hufanywa? Mwanzo, mistari za mada zinaonyeshwa katika ukurasa wa mbele wa ProZ.com. Mistari ya mada za kupotosha au zisizokamilifu huweka watu kutokuwa na ufanisi wa kupata mada ya riba kwao. Mistari ya mada pia huwa sehemu ya muhtasari wa kutuma na mada wale kufuatilia,na wao kutoa msaada katika kutafuta mitungo nzee. Kwa sababu hizi, ni muhimu kwamba mistari somo kuwa yaliyoandaliwa kufikisha, kama iwezekanavyo, maudhui ya mtungo.
Mifano ya mistari mibaya ya mada:
-KudoZ(tatizo: jumla sana)
-Kwa watafsiri wote kusoma (tatizo: si wakilishi wa maudhui)
Mifano ya mistari nzuri ya mada:
-Bima ya fidia-Ninaihitaji?Wapi nawezakupata?
-Arijojo mpya anatafuta vidokezo juu ya programu ya tafsiri
Kuandika mistari za mada zilizo nzuri daima si rahisi, si, hivyo basi kuwa mbunifu!
18 - Kwa nini chaguo la kuhariri limelemazwa baadaya masaa 24 ya kwanza tangu chapisho asilia la mdahalo?
Hii inalenga kwa kuhifadhi maudhui asilia ya majadiliano kama iwezekanavyo na kuhakikisha kwamba mtiririko wa majadiliano hufanya kazi vizuri ili washiriki katika mnyororo unaweza kujibu kwa kila mmoja na kunukuu vipachiko ambavyo maudhui ni uwezekano wa mabadiliko katika siku zijazo.
19 - Siwezi kupata uwekaji wangu.
Kama huwezi kupata wasilisho ulilotuma, ni kwa sababu wewe si mwanachama wa tovuti na KITAMBULISHO chako hakijathibitishwa, na kwa hiyo mawasilisho yako yanahitaji kuidhinishwa kabla ya kuonekana.*
Kuna uwezekano kwamba wasilisho lako lilihamishwa kutoka kategoria moja hadi nyingine, moja sahihi zaidi. Angalia kategoria husika ili kupata mtungo.
* Ufikivu wa vipengele vya mtandao, ambavyo vinaathiri wanachama wengine, vinaweza kubadilishwa au kukataliwa kwa raha za timu ya ProZ.com.
20 - Je, ninaweza kufanya utumaji kuhusu mtoaji kazi au mtafsiri mbaya?
Majibu kuhusu watoaji kazi na watafsiri ambao umefanya kazi nao zinatolewa katika fomu yaLWA (Blue Board) or WWA mtiririko wa maingizo.
Hata hivyo, midahalo inaweza kutumika kuripoti suala lolote linalohusiana na watoaji kazi (ikiwa pamoja onyo kuhusu scams za utoaji kazi) mradi majina au taarifa nyingine nyeti sio maalum.
21 - Kwa nini siwezi kutumia midahalo kutahadharisha wengine juu ya wakala mbaya?
Kama unvyoweza dhani,ukosoaji wa hadharani huwa ya kulipuka, mara nyingi kuzalisha kadhaa au hata mamia ya baruapepe, simu wito, hata mwingiliano wa kisheria.
Aidha, pamoja na maelfu ya watumiaji wengi waliojiandikisha, ProZ.com ni tete zaidi kuliko iliyopo katika orodha ya malipo, ambayo ina wanachama wachache kuliko 1000. Kwa sababu hili, chapisho moja muhimu katika ProZ.com kwa kawaida hudai masaa ya makini kwa upande wa watendaji, wasimamizi, na watazamaji.
Baada ya kushughulika na idadi ya ukosoaji na malengo mazuri, ProZ.com's wafanyakazi wamehitimisha kwamba hawawezi kushughulikia usimamizi wazi katika mdahalo kwa umma ambao unaruhusu ukosoaji, bila kujali jinsi waadilifu wanaweza kuwa. Hiyo ndiyo maana tuliumba Blue Board-kwa kufikia taarifa inayotakikana katika mpangilio, na kwa njia inayoweza kusimamiwa.
Je, Blue Board ina manufaa? Ndiyo. Je, ni kila kitu mtu anaweza tumainia? Hapana --wala kudai kuwa. Lakini sisi daima tunaiboresha kasi kwamba ni vitendo na ukubwa wa biashara yetu.
Ndiyo, lakini kwenye sehemu ya 'mambo ya pesa' ya midahalo.
24 - Kwa nini mada ya kisiasa na utata yanapigwa marufuku?
Ni matumaini ya mwanzilishi wa tovuti kwamba haijalishi jambo lipi litatokea katika dunia "halisi", bado tungekuwa na ukanda pepe hapa katika ProZ.com ambapo watu wa tamaduni tofauti—na maoni ya migogoro—yanaweza kufanya kazi pamoja kwa lugha, kwa amani.
Kwa hiyo, imekuwa sera ya tovuti kila mara kutoa wasilisho lolote *mara moja* ambayo haihusiani na lugha na *ina nafasi yoyote* ya kuwa na utata. Tovuti na wasimamizi wa midahalo wameulizwa kufanya hivyo.
Unaweza kutarajia sera hii kutumiwa mara kwa mara kwa mawasilisho yote yenye utata, bila heshima kwa maoni ya binafsi ya Wasimamizi. (Hivyo wakati mada imefungwa au kuondolewa, hii sio dalili ya mtazamo binafsi ya mtu ambaye anaifunga.) Tafadhali ruhusu utiliaji maanani kwa ukweli kwamba wasimamizi hawapo daima kazini, na huenda ikachukua saa au siku kwa uwekaji kufungwa.
Kunazo nyingine, njia nyingine zinazofaa za siasa--na njio hizo zina nguvu zaidi kuliko tovuti hii.
25 - Na je majanga ya kimaumbile, au majanga ambayo si ya kisiasa--yanaweza kujadiliwa katika midahalo?
Ndiyo. Ingawa si kiisimu, machapisho kuhusu majanga ya kiasili (yaani. Tetemeko la ardhi, mafuriko, vimbunga, vimbunga, mawimbi ya joto, misimu ya baridi, mawimbi ya baharini, volcano, banguko, mioto, slaidi za matope na uzushi mwingine wa kiasi isiyosababishwa na mgogoro) inazingatiwa kuwa mwafaka kwa jamii shirikishi hii.
Wakati majanga hutokea, wanachama wanahimizwa kuchapisha taarifa kuhusiana na juhudi za unafuu zinazoratibishwa na mashirika tambulika na zinazoaminika katika maeneo yao. Kwa mfano, kama mtetemeko wa ardhi umetokea mahali duniani, mwanachama aliye Hispania huenda akataka kuchapisha taarifa kuhusu mbinu za kujitolea au kuchangia, kupitia mashirika sifiwa, yaliyomo ndani ya Hispania.
Kumbuka yafuatayo:
-Uwekaji kuhusiana na majanga ya kiasili lazima uwekwe lebo “mbali na mada”.
-Uwekaji chini wa mada ya janga la kiasili yaliyo na ufafanuzi wa kisiasa utaondolewa bila kuzingatia maoni yaliyoelezwa.
-Uwekaji ambao unapendekeza uratibu wa kibinafsi wa juhudi za unafuu yataondolewa bila kumjuza mwandishi.
-Mbali na majanga ya kiasili, hakuna uwekaji mwingine wenye umbizo la kibinadamu unaruhusiwa.
26 - Kama mtungo wa mdahalo umefungwa, ina maana kwamba mada hiyo haiwezi kujadiliwa tena milele?
Wakati mtungo wa mdahalo umefungwa, kanuni ya mdahalo 6 husaidia kulinda hatua hii na kuruhusu majadiliano "kupoa". Mara tu kuchapisha na nia ya kuendelea majadiliano katika mtungo iliyofungwa hairuhusiwi, lakini hii haina maana kwamba mada yenyewe haiwezi kujadiliwa katika baadaye, bora tu inazingatia kanuni za tovuti.
27 - Je, na uhuru wa kujieleza? Haipaswi kuwa na udhibiti katika midahalo.
Midahalo inamipaka kwenye upeo na ziko chini ya kanuni. Ni muhimu kujua kwamba kanuni za tovuti na upeo zimekuwa kwa muda sasa, na ziko pale na zinatekelezwa kwa hakika kwa maslahi ya kudumisha mahali pa kazi penye matokeo chanya,. Njia pekee kwa hii kutokea ni kwa kanuni hizo na upeo kutekelezwa mara kwa mara, na hii ndio wasimamizi na wafanyakazi wa tovuti hufanya.
Baada ya kusema haya, ni lazima kukumbuka kwamba, ndani ya kiunzi cha kanuni za tovuti na lengo la kanuni hizo, si kila mtu atakuwa na uwezo wa kusema chochote anachotaka katika ProZ.com. Kuweka mahali pa kazi pa tafsiri penye matokeo chanya ina maana kwamba wachapishaji hawataweza kuapa, au kuzungumza siasa, au kufanya matamshi ya kukera katika midahalo, kwa mfano. Kuna sehemu nyingine za kufanya hivyo. Kila mtu ana maoni halali, maoni na kauli; lakini isidhaniwe kuwa ProZ.com inaweza kutumika kutangaza haya.
Kama unahisi umepokea hatua ya kutekeleza kanuni ambayo haikuwa kwenye msingi wa kanuni, tafadhali ripoti hii kwa wafanyakazi wa tovuti kupitia the mfumo wa msaada, ambapo suala linaweza kuhakikiwa bora. Midahalo si mkondo sahihi wa kujadili masuala ya utekelazaji wa kanuni za kibinafsi.
28 - Uwekaji wangu hauhitaji utathmini na sasa yanahitaji. Nini kilichotokea?
Wakati was haka, wasilisha href="/support">na wafanyakazi wa tovuti watakuwa na uwezo wa kuangalia katika suala hilo.
Katika matukio kadhaa, mahitaji ya kongamano utathmini wa unaweza kuwekwa kwa wafanyakazi wa tovuti au wasimamizi. Mahitaji ya utathmini yanaweza kuwa katika uhusiano na ukiukaji wa sheria, lakini hii siyo lazima kwa hali zote. Badala ya, mahitaji ya utathmini ni ulinzi ambao hutumiwa na wafanyakazi wa tovuti na wasimamizi kusaidia kulinda mazingira yenye matokeo chanya ya midahalo. Wakati niliona kwamba mazingira haya yanaendelea kuhatarisha, mahitaji ya utathmini yanaweza kutumika.
29 - Ninaweza kuomba mdahalo wa siri kwa mazungumzo/kazi?
Wanachama wanaolipa wanaweza kuomba mdahalo faragha kuandaliwa, na kualika wenzi kuudhuria kufanya hivyo, wasilisha support request, ukitaja jina ungehiari kupa mdahalo kujumuisha idadi za maumbo ya mhudhuriaji yeyote ungependa kuhusisha kwenye mdahalo.
Pindi mdahalo umeundwa, utapewa kwa mwanachama(wa) waliouomba, ambao watatekeleza kama mmiliki(wa) wa mdahalo faragha. Mmiliki(wa) mdahalo wataongeza watumiaji wengine kwenye tovuti na kuwaondoa kwenye mdahalo. Watumiaji waalikwa kwenye mdahalo tu(na wahudumu wa tovuti) ndio watakaouona, na wamiliki mdahalo tu na wanachama ndio watakaoshiriki. Midahalo faragha haitawekwa adharani.
Kumbuka midahalo ya siri pia ni mhusika wasite forum rules, japokuwa wakati mwingine sheria hizi zinaweza kutafsiriwa juu kwa kusudi la mdahalo faragha. Wamiliki midahalo faragha hutekeleza kama wasimamizi kwenye midahalo yao na wajibu wao kufafanua haya na wote walioalikwa kuhudhuria kwenye mdahalo.
30 - Nina utafiti ningependa kuchapisha. Je, naweza kuuweka katika midahalo?
Kama una utafiti ungependa kuchapisha, na ni ndani ya ProZ.com upeo la tovuti, tafadhali wasiliana na wafanyakazi kupitab>mfumo ya msaada
Na bayana ya msaada. Kumbuka kwamba si tafiti zote zinaweza kuchapishwa.
31 - Niliweka mada kwenye mdahalo usiofaa kimakosa. Nifanye nini?
Kwa sababu kuchapisha mada moja mara mbili si kulingana na kanuni za mdahalo , tafadhali wasilisha ombi la msaada ili kama umechapisha mada katika mdahalo makosa wafanyakazi wa msaada wanaweza kihamisha mada hadi kwenye mdahalo ulio sahihi.