Kanuni za tovuti

Sheria za Utumiaji wa ProZ.com

Sheria zifuatazo zimeundwa ili kueneza na kuimarisha uzuri, anga bora ya matokeo, katika eneo la tafsiri la ProZ.com. Kwa kutumia tovuti, unaashiria ukubalifu wako, na kukubali kuzingatia sheria hizi.


Sheria ya Tovuti

1 Proz.com ni sehemu ya kazi ya lugha.
Tovuti imetolewa kama rasilimali ya kitaaluma kwa wale wanaoshughulikia lugha au wanahitaji huduma za lugha. Kimsimamo, uwekaji ambao hauhusiani na tafsiri, ukalimani,au maswala yoyote ya lugha, au biashara kwayo, hairuhusiwi. [Kwa maelezo na uwezekano wa upekee, angalia wavuti Definition of Scope ]
2 Heshima yenu, utaaluma na ukubalifu unatarajiwa.
Watumiaji wa wavuti wanahitajika kupokeana kwa hisani, uweke hadharani au moja kwa moja, na wanashauriwa kutenda kwa dhana ya roho safi. Dhuluma ya, au mashambulizi au kauli za ad hominem kwenye, binafsi au makundi, wa aina yoyote, sawa na uvunjaji moyo wa wengine kwa utumiaji wa wavuti, haitastahimilika. Hakuna hatua inalenga kufaidi visivyo kwenye Kudoz, mpangilio orodha au kwingineko, ichukuliwe binafsi au kikundi, haitastahimilika.
3 Matangazo ya biashara yameharamishwa.
Matangazo yaliyolipiwa yapo kwenye Proz.com katika sehemu tengwa za wavuti. Kujihusisha kusikoidhinishwa, kuliotumwa kupitia midahalo, jumbe za umbo, au kwingineko, hakuruhusiwi. Mjadala wa wavuti unaotoa huduma shindani pia ni haramu, kufuatia ukiukaji wa awali.
4 Lugha kiukaji hairuhusiwi.
5 Herufi kubwa hazifai kutumiwa visivyo.
Tumia herufi ndogo isipokuwa kubwa kama zinahitajika.
6 Utapeli na ulaghai umekataliwa.
Unaweza kutumia Proz.com bila kuweka wazi jina lako. Hata hivyo, kujifanya wengine, kutumia vitambulisho dhania, au vinginevyo kujaribu kudanganya wengine kwa kiwango chochote, haitastahimilika.
7 Umbo moja linakubalika kwa kila mtu.
Kuunda umbo jipya kwa kupita vikwazo au kufaidi inaharamishwa. (Hata hivyo, inakubalika kuwa na umbo moja binafsi na jingine kwa biashara yako sajiliwa.)
8 Mjadala wa hatua zinazochukuliwa na wasimamizi au wahudumu wa wavuti itekelezwe binafsi kupitia mfumo wa msaada kwenye mtandao wa wavuti.
Hatua ya usimamizi inajumuisha ushinikizaji wa sheria katika midahalo, ubadilishaji wa uhariri katika mada, kufunga kwa misururu fulani ya mdahalo, uteuzi wa mada zitakazoangaziwa kwenye ukurasa maskani, n.k. Kwa ufafanuzi zaidi angalia, FAQ hii.

Uzingatiaji wa sheria hapo juu ni sharti la kuendelea na haki ya ufikivu na utumiaji wa tovuti.

Utekelezaji


Wafanyakazi au wasimamizi huchukua mojawapo ya hatua zifuatazo ili kutekeleza sheria zipo hapo:
* kuwasiliana na watumiaji wa tovuti ili kuhimiza uzingatifu wa sheria
* kujitoa kwenye kuidhinisha (au kutoa/kuficha) uwekaji unaokiuka sheria
*kusababisha ujumbe zinazohusiana na sheria kuonekana kwa watumiaji fulani wanapochukua hatua fulani
* kusimamisha, kwa muda au milele, ufikiaji wa vibambo ambavyo vimetumiwa kukiuka sheria.
* ukatishaji wa umbo au uanachama (wafanyakazi pekee)

Wasimamizi na wafanyakazi sharti wafanye kulingana na, na wanakingwa na, sheria za tovuti sawia na wanachama wengine.

Ukatishaji

Kwa nadra sana matukio ya ukiukaji, wafanyakazi wa ProZ.com hukatiza umbo (na uanachama) kwa athari hiyo. Mara nyingi, hata hivyo, ProZ.com hutumia sera ya “kadi manjano/nyekundu” ulingano wa kadi manjano/nyekundu kwenye kandanda/soka, ukatishaji.

Kadi manjano na nyekundu hutolewa tu na wafanyakazi. Sheria zinaonyeshwa kwa nambari, na tarehe ya kadi inaingizwa. Istilahi “kadi manjano” au ”kadi nyekundu” zinatumika wazi; kama baruapepe imetumwa, istilahi uonekana katika kifungu mada.

Mtumiaji wa tovuti ambaye amepewa kadi ya manjano anaweza kuendelea kutumia tovuti (wakati mwingine kwa vikwazo fulani), lakini hata hivyo kuna arifa kwamba ukiukaji zaidi utasababisha ukatishaji. Mtu ambaye umbo lake limekatizwa hakubaliwi tena katika ProZ.com.

Watoajikazi wanawajibikia sera ya ukatishaji.

Ufafanuzi

Kwa ufafanuzi wa sheria hizi au utekezaji wa sheria, tafadhali wasilisha ombi la msaada.

Request help


Site Documentation


The member services and support team
Jared

Jared

Lucia

Lucia

Helen

Helen

Yana

Yana

Karen

Karen

Evelio

Evelio

Hayjor Roca

Hayjor Roca

Andrea

Andrea

Naiara Solano

Naiara Solano

Joseph Oyange

Joseph Oyange

Isabella Capuselli

Isabella Capuselli

Saint Machiste

Saint Machiste

Valentin Zaninelli

Valentin Zaninelli

Laura Rucci

Laura Rucci

Erika Melchor

Erika Melchor

Charlotte Gathoni

Charlotte Gathoni

Agostina Menghini

Agostina Menghini

Tanya Quintery

Tanya Quintery

Benedict Ouma

Benedict Ouma

Ana Moirano

Ana Moirano

Isabel Thomson

Isabel Thomson

All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search