This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
Jamii--ProZ.com ni kikundi cha wataalamu wa lugha ambao wanajumuisha watafsiri, wakalimani, mashirika ya utafsiri, na wateja wao. Wavuti—ProZ.com ni mahalisoko na mahalikazi: maelifu ya wataalamu wa lugha hupokezana kazi na taarifa za istilahi kila siku. Wahudumu—ProZcom—ni kikundi kidogo cha waratibu na wahenzi lugha waishio New York (Marekani), La Plata (Arjentina) na Kharkiv (Ukraine), wakisaidiwa na wasimamizi wanaojitolea kote ulimwenguni.
Ni vipi utatumia ProZ.com vizuri:
Unaweza pia kupendelea:
kwa kutumia Kisasisha umbo ili kuunda umbo wenye nguvu na soko bora kwako
Katika makao makuu ya New York, wahudumu wa ProZ.com huita tovuti kuwa “proz-dot-com” huku sehemu ya ‘proz’ ikiendelezwa hivyo “(ilivyoandikwa) prosi” au “pros” (yaani wataalamu). Lakini wengine hutamka “pro-zee-dot-com”, “pro-zed”, “procetta”, n.k.
3 - Nani napaswa kuwasiliana naye kama nahitaji msaada wa kukamilisha maelezo yangu au kutumia tovuti?
Kama unahitaji msaada na kujenga umbo zuri au kwa kutumia kipengele chochote cha tovuti, wasilisha ombi la msaada. Wafanyakazi wa tovuti watakusaidia na kitu chochote unaweza taka.Unaweza pia kufikia wafanyakazi wasaidizi kwa kubofya"Wasilisha ombi la msaada"katikaKituo cha msaadaukurasa kinapatikana kutoka chini ya kichupo cha "Kuhusu".
Au, wasiliana na msimamizi wa tovuti katika lugha yako.Unaweza kupata orodha ya Wasimamizi wanopatikanahapa.
4 - Ni faharasa ngapi zipo katika tovuti?
Kuna faharasa mbili za jumla kwenye tovuti: faharasa binafsi na faharasa ya KudoZ.
(GlossPost ni kikundi cha mjadala spesheli cha uenezaji wa faharasa, kamusi na hifadhidata ya istilahi kwa URL miongoni mwa watafsiri.)
Pindi mtumiaji anapouliza swali la KudoZ, na baada yake kulengwa, mtumiaji ana hiari ya kuongeza swali la KudoZ kwenye faharasa ya KudoZ na faharasa binafsi. Mara istilahi imeingizwa kwenye faharasa ya KudoZ unaweza tafutwa na kithibiti tafutizi ya KudoZ, k.m. KudoZ tafutizi, faharasa ya KudoZ na faharasa tafutizi katika mwambaa wa menyu.
Kumbuka: Mara tu istilahi KudoZ imeingizwa katika faharasa binafsi, hiyo istilahi inakuwa sehemu yako ya “faharasa binafsi” wala sio faharasa yako ya “KudoZ”.
Faharasa binafsi zinaweza kupakizwa na/au kuingizwa nawe ili kujenga istilahi maskani kwa kubofya kwenye kiungo “hariri istilahi” kwenye upande wa kushoto pa ukurasa wa umbo lako. Iwapo ungependa kufuta/kutia jina upya faharasa, bofya kwenye kiungo “Faharasa Yangu” katika mwambaa wa menyu “ProZ.com Yangu”.
FYI: Browniz zinatuzwa unapoingiza istilahi kwenye faharasa binafsi na unapofuta istilahi za KudoZ.
5 - Nchi yangu haijaorodheshwa kwenye tovuti, au haijaorodheshwa kwa usahihi.
Hii tovuti inatumia msimbo wa ISO kwa lugha zote na nchi zilizoorodheshwa. Orodha ya nchi na misimbo yao inaweza patikana href="http://www.iso.org/iso/country_codes/iso_3166_code_lists/english_country_names_and_code_elements.htm">here
Iwapo nchiyako imeorodheshwa katika ISO na haionekani kwenye tovuti, ama imeorodheshwa visivyo kulingana na misimbo wa ISO, tafadhali dokezea mhudumu kwa kuwasilisha ombi la msaada.
6 - Ninaweza kugeuza kunifaa ukurasa wangu wa maskani?
Ndiyo. Kuna maeneo kadhaa ya kurasamaskani ambayo unaweza Customize na suti mapendekezo yako, ikiwa ni pamoja na vikao, ajira na maswali KudoZ umeonyesha.
KudoZ: b>bofya kiungo "Geuza kukufaa" kwa ajili ya sanduku KudoZ kwenye ukurasa wako wa maskani na kufuata hatua pale, au kwenda moja kwa moja na kuingia http://www.proz.com/kudoz/ wawili wawili au vigezo vingine unataka kuchuja maswali yako na maswali na bofya Tazama (na kuhifadhi mipangilio) b>. Kumbuka kwamba kuonyesha lugha zaidi ya moja, haya lazima lugha uunganisha tayari uliongeza kwa umbo lako. Iwapo unahitaji kuongeza lugha unganishi uliyoongeza kwa umbo lako, unaweza kufanya hivyo katika Kisasisha umbo a> b>.
Michango na mapendekezo, sawa na ripoti kuhusiana na shida pamoja na maombi ya msaada sharti yawasilishwe kutumia kiungo cha Maombi ya Msaada hapo juu.
Kumbuka: Nyingi ya jumbe za mfumo huja kupitia [email protected]. Hii SI anwani halali, na majibu yoyote yanafutwa kiotomatiki. Tafadhali wasilisha Ombi la Msaada badala.
8.1 - Wapi naweza kuona ombi langu la msaada la kitambo?
Angalia chini ya My ProZ.com kichupo kilipo juu ya ukurasa, "Ombi langu la msaada".
9 - I am having issues with the site. How can I identify the source?
The troubleshooting steps described here can help you test issues with ProZ.com, as well as most other websites.
Try a different browser, for example, Chrome instead of Opera.
Try a different device, for example, your cellphone instead of your computer.
Try a different network, for example, your mobile network instead of your home's Internet service.
You may also be able to identify the issue using your browser's developer console.
You should be able to open the console by right-clicking the page, using the "Inspect" option and heading to the "Console" tab; by pressing F12 or Ctrl+Shift+J, or by searching within your browser's main menu.
Once you have the console open, load the page that's causing you trouble, and try the action again. Any errors during page load or command execution should be displayed in the console.
This is roughly the console looks like:
9.1 - Possible solutions to issues with your browser:
If changing your browser works, try the following possible solutions:
Certain forms or pages may require cookies, so make sure that cookies are enabled. If they aren't, enable them, then close and re-open your browser, and try again.
Clear your caché and cookies. After you've wiped your navigation data, close and re-open your browser, and try again.
Make sure your in-browser ad-block isn't preventing the page from fully loading. You can do this by disabling it momentarily, or whitelisting the website's domain.
Uninstall and re-install your browser completely. In certain cases, a problem during installation may cause long-term glitches that may not be solved otherwise.
9.2 - Possible solutions to issues with your device:
If changing your device works, but changing browsers within the same device doesn't, try the following possible solutions:
A firewall, anti-malware or anti-virus software may be incorrectly blocking some function of the site. Try whitelisting the website domain.
A virus or other kind of malware may be affecting your device's function. Try running a complete virus and malware scan.
A software update or error during installation may have caused registry issues in your operating system. Depending on which OS you use, you can try your device's registry cleanup tool, or take it to a professional for revision.
9.3 - Possible solutions to issues with your network:
If changing your network works, it's most likely an issue with your Internet Service Provider. You may need to contact them, or utilize a VPN service to bypass local ISP restrictions.
10 - Ninawezaje kufuta hifadhimuda ya kivinjari changu?
Nyingi za vivinjari hudumisha nakala ya janibu ya kurasa za tovuti kwenye diski au katika kiwekadata ili kuharakisha upakizi wa kurasa za tovuti zilizopitiwa awali. Hii inaitwa “cache” ya kurasa hizo. Wakati mwingine kivinjari hakitambui kuwapo kwa toleo jipya la ukurasa, na inakuonyesha ya kale.
Ili kumiliki uwezo wa hifadhimuda ya kivinjari chako, jaribu kupakiza upya ukurasa kwa kushikilia kitufe cha SHIFT na kubonyeza F5 au kubofya Onyesha upya au pakiza upya. Iwapo hiyo haitatekeleza, jaribu kufuta cache yako kwa kufuata maagizo kwenye ukurasa huu:
Iwapo utaendelea kuwa na shida inayo sababishwa na uhifadhi muda, utahitajika kuhariri mipangilio katika kivinjari chako. Angalia ukurasa huu kwa maelezo zaidi kuhusu uhariri wa vipimo vya cache ya kivinjari chako: http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Bypass_your_cache
11 - Ninawezaje kupata pichakiwambo ya ukurasa ninaoungalia ili niuambatishe kwa ombi la msaada?
12 - Ninawezaje kupata vichwa kamili vya ujumbe wa baruapepe?
Angalia hii MMM kutoka chama cha tatu cha tovuti SpamCop a> kwa taarifa kuhusu jinsi ya mtazamo vichwa kamili vya ujumbe wa baruapepe.
13 - Ni vipi unasibu wa mtafsiri aliyerejelewa atajulikana?
Algorithm uteuzi ni nasibu kabisa haiegemei upande wowote wa mtu yeyote. Ulinzi ni maalum kwa frequency ya kuonyesha katika uhusiano na kupotoka rough kutoka wastani.
Mahsusi, uradidi ule unavyoonyeshwa unalinganishwa na idadi wastani ya nyakati mtafsiri amerejelewa, kama umbo litachaguliwa kwa unasibu imerejelewa zaidi ya mara mbili ya wastani, basi umbo jingine litachaguliwa mpaka moja litakalokutana na vigezo.
14 - “Kauli za ad-hominem” ni nini na kwa nini zinakataliwa katika sheria za kijumla za wavuti #2?
Kulingana na Sheria ya Encyclopedia ufafanuzi ulinukuliwa naAnswers.com a>, "ad-hominem" [Kilatini, Ilimtu]. ni kanuni inayotumika katika mjadala kuashiria mabishano binafsi dhidi ya mpinzani, badala ya hoja dhidi ya mpinzani.
Sababu kwamba ad hominem hawaruhusiwi ni kwamba wao huwa, angalau katika midahalo ya ProZ.com, kwa kuzorota kwa maneno.Tangu ufumbuzi wa matatizo yanayohusiana na tafsiri au masuala wala huwa zinahitaji ad hominem taarifa yake, i kizuizi dhidi yao hauwezi kuzuia kutoka madhumuni ya vikao.Kinyume chake, kutoruhusu maoni ya ad hominemina athari yaangazia angalizo juu ya masuala.
15 - Nina malalamiko kuhusu utekelezaji sheria au hatua nyingine kuchukuliwa na Wasimamizi au wafanyakazi,ambapo naweza kusajili hii?
Iwapo una tatizo, malalamiko au swali kuhusu hatua zilizochukuliwa na utekelezaji sheria wafanyakazi au wasimamizi, tafadhali wasiliana na tovuti wafanyakazi kupitiamfumomsaada.Maombi kwa ajili ya ufafanuzi juu yatovuti sheriana sheria ya utekelezaji lazima kutumia njia hii,na si kuwa kuwasilishwa katika vikao.
16 - wingiliano kati ya rafiki, familia au washirika wa karibu unaruhusiwa katika ProZ.com?
In line with general site rule #2, while friends, family or close associates can simultaneously participate at ProZ.com, this participation should not be carried out among these profiles in order to maintain a certain level of transparency. Friends, family or close associates are invited to participate in KudoZ, discuss topic of interest in forums, leave feedback on service providers or outsourcers. However, this interaction should not be carried out to gain unfair advantage.
In cases where there is evidence to suspect unfair interaction, site staff will enforce general site rule #2 accordingly to ensure fairness.
17 - Ninawezaje weka maoni yangu katika ukurasa wa "Ushuhuda"?
Umekaribishwa kutupa maoni yako kwa kuwasilisha ombi la msaada.Hata hivyo, kumbuka kwamba si maoni majibu yote yanayopokelewa kuwa pamoja na katika ukurasa wa ushuhuda.
18 - Ujanibishaji / seti ya vibambo
18.1 - Natazama tovuti kwa lugha nisiyoelewa. Nini kilitendeka?
Katika upande wa chini kulia pembeni mwa ukurasa maskani kuna menyu ya kushuka. Ili kubadilisha lugha ya tovuti, tafadhali bofya katika menyu ya kushuka na teua lugha inayoipendelea.
18.2 - Ni seti zipi za vipambo (Cyrillic, n.k.) nitatumia kote tovutini?
Tovuti ya ProZ.com haiwezi kutofautisha kati ya seti ya vipambo tofauti. Matini yanayotiwa yanatolewa vivyo hivyo yalivyoingizwa, pamoja na kutumia seti ya vipambo sawa.
Watafsiri watakuwa na shida kuona aina fulani ya seti ya vipambo kwenye tovuti. Shida hizi si dhahiri kwa ProZ.com, na inahitaji kusahihishwa kwenye kivinjari/kwenye kiwango cha mfumo wa operesheni. Vile inavyofanywa inatafautiana, lakini kawaida inahitaji kudhihirisha seti ya vipambo wewe mwenyewe ili kuonyesha ukurasa kwa kutumia menyu ya “Seti ya Vipambo” au “Usimbwaji wa Vipambo” kwenye kivinjari au kwa kusakinisha seti ya vipambo hitajika kwenye kivinjari au kwenye kiwango cha mfumo wa operesheni. Tafadhali shauri stakabadhi za janibu kwa maelezo zaidi.
18.3 - Matini ya tovuti haionyeshi sawa katika lugha yangu. Nifanye nini?
Kikumbana na masuala ya usimbaji wa vibambo na matini yoyote ya tovuti haionyeshi sawa,hakikishaki vinjari yako inatambua kuwa ukurasa uko katika Mwandiko. Unaweza kuangalia upendeleo huu kwa kwenda"Angalia" na bofya "Mwandiko" kutoka orodha kuu katika kivinjari chako.
Kama suala litaendelea,tafadhali wasilisha ombi la msaadana bainisha chaguo gani la mwandiko lililochaguliwa katika kivinjari chako ili wafanyakazi wa tovuti wanaweza kuangalia katika suala hilo zaidi.
18.4 - Ujanibishaji wa lugha yangu unadidimia. Nifanye nini?
Asante kwa nia yako ya kusaidia. Jifunze zaidi kuhusu mradi wa ujanibishaji kwenye ProZ.com hapa.
18.5 - Ni vipi ProZ.com inashughulikia seti za vipambo?
Kihalisia ProZ.com haikudhirisha seti ya vipambo kwenye kurasa zake, kuruhusu matini kuingizwa katika usimbaji wowote bayana kwenye lugha tumizi yoyote. Kwa bahati mbaya sera hii haitumiki kwenye tovuti ambayo ni rahisi kuona, hasa katika lugha ambazo hakuna uwastani wa usimbaji wa vipambo, kama vile Kijapani.
Kumaliza shida hii ProZ.com ilianzisha sera ya kuhama tovuti hadi kutumia Msimbosare kama wastani wa kipambo wa usimbaji kwa tovuti yote. Kuanzia 2006 Februari baadhi ya sehemu ya tovuti ilianza kubadilishwa hadi Msimbosare na kubadilisha data kale hadi matini tekelezi ya Msimbosare.
18.6 - Ninawezaje kuseti usimbaji wa vipambo utumiwao na kivinjari changu?
Nyingi za vivinjari hukuruhusu kuona ukurasa katika usimbaji wako teule kwa kuteua Ona->Kusimba kutoka kwenye menyu kuu ya kivinjari. Kumbuka, hata hivyo, kuwa uchaguzi wako wa usimbaji “hautanata”—yaani, unapoangalia ukurasa mwingine, usimbaji huenda ukabadilika na unahitaji kuseti usimbaji wa vipambo vya kivinjari chako tena.
18.7 - Ni nini Msimbosare?
Ili uelewe Msimbosare ni nini, ni muhimu uelewe dhana ilopo kwenye seti ya vipambo.
Wakati matini yanaingizwa na yanahifadhiwa kwenye tarakilishi yanahifadhiwa kwa jozi kama data zote zihifadhiwavyo katika tarakilishi. Seti ya vipambo ni jedwali ambayo huelekeza tarakilishi ni vipi Jozi vasheni ya matini hugeuka kuwa halisi kwenye kiwambo. Nyingi ya seti za vipambo vina uwezo wa kubeba vipambo 255, hivyo kihalisia kila kikundi-lugha kitakuwa na seti ya vipambo vyao vilivyoalamisha data hifadhiwa hadi vipambo vya alfabeti au nembo za lugha hiyo.
Kwa sababu seti ya vipambo vilikuwa dhahiri kwa lugha ambazo zilitumia kwa pamoja nembo moja, na kulikuwa na zaidi ya seti moja ya vipambo kwa lugha iliyopo, ubadilishanaji wa matini baina ya tarakilishi unakuwa mgumu huku mtandao na ubadilishanaji wa mataifa unaenea zaidi.
Ili kusuluhisha shida hii seti ya vipambo ya Msimbosare iliundwa. Azimio la Uncode ni kutoa seti moja ya vipambo ambayo vinajumuisha njia nyingi za uwakilishi wote wa vipambo kutoka lugha nyingi iwezekanavyo. Kwa watu wengi maelezo ya kiufundi si muhimu, cha muhimu ni kuwa Msimbosare inawezekana kuonyesha karibu kila kipambo kwenye ukurasa sawa au nakala bila hofu ya ni seti ipi ya vipambo inahitajika kutumiwa.
18.8 - Kwa nini nitumie Msimbosare?
Kurahisisha mambo, Msimbosare ni kipambo cha usimbaji wa msitakabali. Vile muda unavyosonga hitaji la mabadilishano ya matini kwa lugha anuwai yanakuwa ya umuhimu zaidi. Kimataifa, jamii za lugha anuwai wanapenda ProZ.com kwani hii ni teknolojia muhimu.
Hapa mna baadhi ya matini ambayo yote yanaweza kuonyeshwa kwa mara moja kwa kutumia msimbosare:
18.9 - Haya matini ni Msimbosare, kwa nini yanaonyesha kama alama ya kiulizi au kukosa nembo ya kipambo?
Mna sababu mbili ni kwa nini huenda haya yanatokea.
Ya kwanza ni huku Msimbosare ni seti ya vipambo ambayo udokezea tarakilishi yako ni vipambo vipi vya kuonyesha tarakilishi yako bado inahitaji fonti ili kubaini vipambo hivi hasa huonekanaje. Tarakilishi za kisasa huandamana na fonti za Msimbosare kwa nyingi za lugha zitumiwazo, lakini kuna zile zinahitaji fonti yao binafsi kuongezwa.
Fonti kwa nakala zitumiwazo kwa uchache kwenye msimbosare zinaweza patikana hapa.
Sababu nyingine ambayo itapotoa matini haya ni si Msimbosare halisi. Wakati kivinjari cha kisasa kinapokea matini yaso-Msimbosare wakati inatarajia Msimbosare itajaribu kadiri ya uwezo wake kugeuza matini hayo hadi Msimbosare, lakini kutegea na seti ya vipambo halisia vya matini, haitakuwa rahisi. Matokeo ni matini yanayotumia seti ya vipambo vya Msimbosare kwa sababu ilitafsiriwa visivyo haina umuhimu kamwe.
18.10 - Sijaingia, na jinatumizi au nenosiri lina vipambo viso-ASCII.
Sababu fomu za kuingia za ProZ.com zinatarajia majinatumizi na manenosiri kuingizwa kwenye Msimbosare, iwapo jinatumizi au nenosiri lako liliingizwa awali ukitumia vipambo viso-Msimbosare, huenda usiingie.
Iwapo unajua msimbo ambapo jinatumizi na nenosiri yamehifadhiwa, angalia ukurasa wa kuingia uso-Msimbosare , seti kivinjari chako ili kutumia usimbaji sahihi, na ingia. (Angalia hii MMM ili kusoma vipi unaseti usimbaji wa vipambo kwenye kivinjari chako.)
Iwapo hujui usimbaji halisi wa jinatumizi na nenosiri lako, ama iwapo bado una shida kuingia, badilisha jinatumizi na nenosiri ili kutumia vipambo vya Msimbosare kwa kufuata maagizo kwenye ukurasa huu.
18.11 - Jina langu linaonekana sio sahihi katika baadhi ya maeneo ya tovuti. Ninawezaje kuisahihisha?
Kama jina lako halionyeshwi sahihi katika baadhi ya maeneo ya tovuti, linaweza kuhifadhiwa katika vibambo vingine kuliko Msimbosare. Kama hiyo ndio kesi,chini ya jina lako kwenyeukurasa wa umbo yakoutaona kiungo cha kubadili jina lako kuwa Msimbosare. Bofya kiungo na kufuata maelekezo kwenye kurasa zinazofuata.(Kama yakoutambulisho umethibitishwa, kubadili jina lako kwa Msimbosare kutumia hii mbinuhaitasababisha kitambulisho chako kingekataliwa.)
18.12 - Data yangu inaonekana sio sahihi katika baadhi ya maeneo ya tovuti. Ninawezaje kutatua tatizo hili?
Kama data uliyoweka inaonekana sio sahihi katika baadhi ya maeneo yatovuti, huenda haikuwekwa katika Msimbosare. Katika mengi ya tovuti tunajaribu kubadili kiotomatiki data kuwa Msimbosare wakati inawezekana, hivyo data yako inaweza kuonekana nzuri katika baadhi ya maeneo lakini isiyo sahihi wakati mwingine. Kufanya data yako kuonekana sahihi wakati wote katika tovuti nzima, kwa urahisi sahihi kwa kutumia fomu ya uhariri kwa data hizo.Data mpya unayowasilisha kuanzia sasa inapaswa otomatiki kuwa usimbaji kutumia Msimbosare, na hivyo linapaswa kuoneka na kuwa sahihi katika tovuti yote.
18.13 - Nini hizi na mshale ikoni zinazotokea kwa matini katika tovuti nzima?
Kwa sababu sio data yote katika ProZ.com imewekwa kwa msimbo ukitumia Msimbosare, tunajaribu kubadili data otomatiki zisizo-Msimbosare kuwa Msimbosare kama vile inavyoonyeshwa. Ubadilishaji huu haupo sawa kila saa kwa sababu inahitaji mfumo ikisie msimbo wa matini halisi. na vitufe vinawapa watazamaji fursa ya kuambia msimbo kama ilibadili data vyema.
Kama matini yaliyotangulia vitufe vyaonekana visipo sawa, tafadhali bofya ikoni ili kusaidia msimbo kujua ugeuzi sawa wa data.
Kama matini yaliyoonyeshwa sawa, bofya ikoni kuambia msimbo kuwa ilikisia sawa.
The ProZ.com site is translated (localized) from English into other languages by a team of volunteers selected form among ProZ.com members. This is referred to as the ProZ.com localization effort.
19.2 - Naweza pata ukurasa wa ujanibishaji wapi?
Unaweza kupata ujanibishaji ukurasa kuu chini ya kichupo "Kuhusu"> " ujanibishaji" au kwa kubofya hapahapa.
19.3 - Ninapenda kusaidia Janibisha ProZ.com katika lugha yangu ya asili. Nifanye nini?
Tafadhali tembeleaukurasa wa ujanibishaji.Kulingana na taarifa katika umbo lako ukurasa litakuonyesha timu ya ujanibishaji unaweza kujiunga. Kuwasilisha ombi lako la kujiunga na timu bofya kiungo cha "tuma ombi la kujiunga" kama inavyooneshwa katika mfano hapo chini:
19.4 - Jinsi gani wajumbe wa timu wa katika ujanibishaji huchaguliwa?
Watafsiri walio tayari kusaidia Localize tovuti katika lugha yao ya asili kuwasilisha maombi yao yakujiunga na timu kupitiaProZ.com msaada kituo cha.Upendeleo unatolewa kwa wanaojitolea katika ujanibishaji ambao ni wanachama watovuti kama uanachama katika ProZ.com inawakilisha kiwango fulani cha kujitolea kwa tovuti ambayo inachukuliwa sehemu muhimu ya vigezo,na pia inaruhusu timu katika ujanibishaji mwanachama kuelewa na kusaidia wanachama wenzao na makala ambayo yanaweza kuwa yanapatikana kwa watumiaji wa tovuti wasio wa kulipa. Sababu nyingine muhimu ni umbo la mgombea. Vile umbo limekamilika zaidi ndivyo bora. Baadhi ya mambo yamezingatiwa ni: kukamilika kwa umbo a>, ushiriki kwenye tovuti,sifa zilizoripotiwa (na kuthibitishwa na wafanyakazi wa tovuti), KudoZ ushiriki a>, nk.ushiriki katikaProZ.comMtandao wa WATAALAMU Walioidhinishwani muhimu pia.
19.5 - Timu za ujanibishaji hupangwa aje?
Kuna timu ya ujanibishaji kwa kila lugha katika tovuti ambayo imetafsiriwa.Kila timu ya ujanibishaji inaweza kupangwa katika njia1 ya 2:
1) Timu inaweza ikiwemo kiongozi wa timu na wanachama ziada wa timu.
2) Timu ujanibishaji inaweza ikiwemo tu na wanachama wa timu.
19.6 - Je wanachama wa ujanibishaji wanapata utambuzi?
Ndiyo,kwa maneno yaliyotafsiriwa na sahihishwa wanachama wa timu hupokea browniz ambayo yanaweza baadaye kubadilishana kwa uanachama. Localizers pia hupokea utambulizi katika umbo lao kwa njia ya hadithi: "Mtafsiri huyu anasaidia Janibisha ProZ.com katika{lugha}". Ujumbe huu unaonekana tu wakati maneno angalau1000 yametafsiriwa.
Soma hiimakala>juu ya faida ya kusaidia janibisha ProZ.com katika lugha yako ya asili.
19.7 - Nawezaje badili lugha ya muonekano wa tovuti?
Kwenye pembeni mwa chini ya kulia wa ukurasa ukurasa wa maskani kuna menyu ya kushuka chini. Ili kubadili lugha ya tovuti, tafadhali birigiza chini ya ukurasa maskani, bofya menyu ya kushuka chini na chagua lugha unayopenda.
19.8 - Toleo janibishaya ya tovuti ina tofauti na katika maana kutoka toleo la Kiingereza.Gani ambayo ninapaswa kufuata?
Katika tukio la mgogoro wowote kama kwa tafsiri ya maandiko ya sehemu yoyote ya tovuti,lugha rasmi ya toleo la ProZ.com(Kiingereza) itashinda. Kama utapata tofauti kubwa katika maana tafadhali wasilisha ombi la msaadaau wasiliana na kiongozi wa timu wa ujanibishaji.
20.1 - Majira ya saa ipi inayotumiwa katika ProZ.com?
Kwa chaguo msingi, saa zote huoneshwa katika tovuti katika GMT. Hata hivyo, watumiaji waliosajiliwa wanaweza kuchagua kuona saa katika majira ya saa wanaopendelea.
Weka GMT offset na umbo la ProZ.com:
20.2 - Ninawezaje kuona tarehe na saa katika majira ya saa yangu na umbizo ninayopendelea?
Unaweza kubadilisha tarehe na saa vinavyo onekana kwako katika ProZ.com kwa kurekebisha siku na saa yako unavyopendelea. Mbali na kuweka muda wako wa majira ya saa,unaweza bainisha kama unapendelea kuona saa kutumia 12-au 24-saa, kwa mfano.
Kuhariri tarehe na saa unavyopendelea, bofya kiungo cha majira ya saa katikawakatiwa sasa inavyoonekanakatika juu yakila ukurasa.Unawezapiakuharirikutoka mhaririumbonamaeneo mengine mbali mbali.
20.3 - Majira ya saa gani nafaa kuchagua? Kwanini kuna majira ya saa mingi katika nchi yangu?
Baadhi ya nchi zina majira ya saa kadhaa tofauti ya kuchagua. Hii ni mara nyingi matokeo ya mikoa mbalimbali ndani ya nchi kuchunguza sheria tofauti kuhusu wakati wa kurekebisha saa kwa uwekaji wa saa wa mchana(au kama kwa kuadhimisha wakati wote).
Iwapo majira ya saa kadhaa yameorodheshwa ya nchi yako, chagua moja iliyo na GMT inayosawiana na majira ya saa yako.
Iwapo kuna zaidi ya majira ya saa katika eneo lako GMT kukabiliana,chagua majira ya saa inayohusishwa na mji mkuu ulio karibu. Baadhi ya majaribio yamepatikana yanaonyesha majira ya saa ya kawaida katika kesi hizi.
Iwapo uko katika mamlaka na sheria za uwekaji wa saa za mchana ambazo sio za kawaida kwa eneo lako,tayari unafahamu haya,na unapaswa kuteua eneo la majira ya saa ambayo inaonyesha kanda hii maalum.
Iwapo bado hauna uhakika wa majira ya saa kuchagua,tafadhaliwasilisha tiketi msaada a> kwa msaada.
20.4 - Uwekaji wa saa za mchana (USM) hufanywa aje?
Saa hubadilika kwa sababu ya uwekaji wa saa za mchana au wakati wa majira ya joto inafaa kushughulikiwa kiotomatiki, kama majira ya saa yako imewekwa sawa. ProZ.com inatumia kikoa umma "zoneinfo" hifadhidata kufuatilia sheria za uwekaji wa saa za mchana katika mamlaka mbalimbali. Angalia http://wikipedia.org/wiki/Zoneinfo a> kwa maelezo.
GMT inasimamia GreenwichMeanTime,ambayo inahusu kiwango wakati msingi Majira ya Mataifa ya Atomiki. Kiwango hiki wakati pia kinajulikana kama MJY (Majira ya Jumla Yaliyoratibiwa). Majira ya saa Duniani yanaweza kuonyeshwa kama nzuri ama mbaya kutoka GMT.
20.6 - Ingizo la kalenda (.ics) faili ni nini?
iCalendar ni umbizo la faili ya tarakilishi ambayo inaruhusu watumiaji wa Mtandao kutuma maombi ya mkutano na majukumu kwa watumiaji wengine wa Mtandao,kupitia baruapepe, au kugawana faili na kiendelezi cha. ics.
Kiungo cha "Kuongeza kwa kalenda" zinazotole wakati kama maeneo mbalimbali katika tovuti zinakuruhusu kupakua inayohusiana na faili ICS. (ICalendar).iCalendarni sekta maarufu na ya umbizo kiwango cha kiwanda faili inayobainisha kalenda na viingizo kalenda,na inategemezwa na maombi mengi ya kawaida ikiwa ni pamoja na Google Calendar, Microsoft Outlook,na Apple ical.
21.1 - Ni vipi orodha ya lugha inayotumika kote katika ProZ.com iliundwa?
ISO [SWK] (Shirika la Wastani la Kimataifa) lilichapisha herufi-3 za mfumo wa usimbaji pamoja na takribani lugha 430 zimejumuishwa. Tunatumia zile, ambazo zina nyongeza kulingana na ombi la mwanachama.
21.2 - Ningependa lugha fulani iongezwe katika orodha. Nitaombaje hilo?
22 - Why does Internet Explorer say There is a problem with this website's security certificate?
If you use Microsoft Internet Explorer version 6 or earlier, or if you use Internet Explorer under Windows XP (or Windows 7 with certain configuration settings), you may see the message There is a problem with this website's security certificate when viewing secured (SSL) pages on ProZ.com servers.
This happens because those versions of Internet Explorer don't understand the technology ProZ.com uses to serve secure SSL web pages. (ProZ.com switched to this technology, called SNI, in November 2014, to increase security for ProZ.com-hosted web applications).
You can resolve this issue by taking one of the following actions:
If you use Internet Explorer version 6 or earlier, upgrade to a more recent version.
If you use Windows 7 and see this warning in Internet Explorer, you may need to enable the TLS protocol. Go to Control Panel > Internet Options > Advanced, and under Security, tick the checkbox for each of the options labeled Use TLS {version}.
If you use Windows XP or earlier, no version of Internet Explorer supports this secure site technology. You can use a different browser such as Chrome or Firefox to view the secure pages without warnings.