This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
VIA AILooking for an interpreter?
Remoto by ProZ.com connects you with an identity-verified interpreter by video or phone in about 60 seconds — 300+ languages, on demand or booked ahead.
Try Remoto »
ProZ.com hutoahuduma za uendeshaji wa mtandao wa kinakwamwanachama kamili. Huduma za uendeshaji zinazingatiwa na paneli dhibiti ya uendeshaji wa tovuti maarufu cPanel, na inatoa seti ya kipengele cha mashindano ya juu kwa furushi zinazotolewa na uendeshaji wa kampuni zingine.
ProZ.com ni kikoa cha uuzaji tena kinachoidhinishwa kwa FunguaSRS/Tucows, mojawapo ya wasijili wa kikoa huru na wanaoaminika katika mtandao. Hii huruhusu wanachama kuwa na udhibiti kamili juu ya majina ya vikoa vyao wakitumia usimamizi wa kiolesura cha kikoa cha msingi-tovuti kwenye ProZ.com.
2 - Tunaweza kujifaidi kwa uendeshaji wa ProZ.com?
Huduma za uendeshaji zinapeanwa tu kwa wanachama kamili; haiuzwi kwa waso-wanachama. Lengo kubwa kwa tovuti zote zinazoendeshwa na ProZ.com lazima ziwe lugha husishwa. ProZ.com haijaribukuendesha biashara ya uendeshaji wa faida mwenyeji biashara katika kiwanda cha uendeshaji wa tovuti ya pambizo la chini la ProZ.com imebainisha kwamba kuwa na tovuti ya kitaalam, huduma za baruapepe zinazoaminika, seva ya FTP, na vipengele vingine vya uendeshaji ni vipengele muhimu vya mafanikio ya biashara za lugha, na tumegundua kwamba wanachama wetu wengi hawana huduma bora katika eneo hili. Uendeshaji wa ProZ.comunakusudiwa kutumikia haja hii kwa wanachama wetu.
3 - Inagharimu kiasi kipi?
Furushi hili la uendeshaji maalum linapatikana bila malipo kwa wanachama wote kamili.Usimbaji fiche wa uendeshaji bora unapatikanaukiwa na vipengele vya kuongezewa kwa ada ndogo.
Usajili wa kikoa na usimamizi si bure ,hata hivyo. Ili kumiliki jina la kikoa chako, Lazima utoe malipo ya usajili wa kikoa ya kila mwaka. Malipo hayo yanaweza kulipwa kupitia, au kwa msajili wa mtu watatu au mwuzaji tena wa kikoa.
Kamambadala katika kumiliki jina la kikoa chako mwenyewe, inawezekana kuendesha tovuti lako ukitumia kikoa kidogo cha proz.com (jinalako.my.proz.com). Huduma hii ni bure kwa wanachama kamili.
5 - Nini tofauti kati ya uendeshaji na usajili wa kikoa?
Usajili wa kikoa na uendeshaji ni huduma mbili tofauti. Unasajili jina lako la kikoa na kikoa cha msajili, ikikupatia umiliki wa kipekee wa jina hilo. Unaelezea msajili wa kikoa chako mahali ambapo atapata seva ya majina ya mamlaka ya kikoa chako. Hudumayako ya uendeshajiInatoa seva ya majina ya kikoa na inashughulikia tovuti yako, baruapepe, n.k. Mara nyingi, huduma ya usajili wa kikoa hupeanwa kupitia mwendeshaji wako, lakini sio kila mara. Mojawapo ya faida za kumiliki jina la kikoa ni kwamba haujafungwa kwa mwendeshaji yeyote.
ProZ.com inatoa huduma za usajili wa kikoa kwa baadhi ya vikoa vya kiwango cha (kwa sasa .com, .net, .org, .info, .biz, .co.uk, and .org.uk). Tunaweza pia kutoa huduma za uendeshaji kwa vikoa ambavyo hutumia usajili wa kikoa tofauti.
6 - Kwanini vikoa vilivyoendeshwa na ProZ.com hupaswa kutumia seva za jina za ProZ.com?
Uenedeshaji wa ProZ.com unahitaji udhibiti kamili dhidi ya vikoa ili kukubali uunganifu. cPanel inhitaji kuweza kudhibiti DNS kwa ajili ya kikoa ili iweze kuongeza ftp. barua, uenezi, n.k.
7 - Ni nani atakaemiliki kikoa changukama nitakisajili kwenye ProZ.com?
Wewe ni mmiliki wa kikoa chochote unachojisajili au kuhamia kwenye ProZ.com. Taarifa ya wasiliani wako utaonyeshwa kama mmiliki, msimamizi, na wasiliani wa kulipishakatika kikoa chako cha rekodi za ninani. Kwa chaguo-msingi, ProZ.com itaorodheshwa kama wasiliani kiufundi na mtoaji huduma wa usajili katika rekodi yako ya kikoa cha whois.
8 - Je, ni nini kitafanyika wakati tarehe yangu ya kuweka upya kikoa changu inafika mwisho?
Usipo sajili upya kikoa chako ndani ya muda fulani, itapitishwa kwenye Muda wa Ukombozi ambao ni muda wa siku 30 wa kushikilia vikoa vilivyo pitisha muda unao anza punde tu kikoa kimepitisha muda wa siku 40 bila ya kusajiliwa upya na mmiliki. Muda wa Ukombozi humpa mmiliki nafasi moja na ya mwisho ya kufufua kikoa kabla haikijatupiliwa mbali na hatimaye kisajiliwa upya na mmiliki mpya.
Mchakato wa Ukombozi haurejeshwi fedha (ada isiyo na hakikisho ya $80Dola ya MAREKANI) na unapaswa kusajili upya vikoa kabla ya muda kuisha au ndani ya muda wa ziada wakati usajili mpya unaweza kukamilika bila ya malipo ya ziada.
Kumbuka: Kikoa kinaweza kurejea kwa Msajili asilia pekee (taarifa asilia ya whois), na itachukua kadri siku 2-3 za biashara ili kukamilisha mchakato. Ada ya ukombozi hairejeshwi na isiyo ya uhakika ya $80 ya MAREKANI (pamoja na mwaka 1 wa kusajili upya). Hii yaweza kuchukua hadi siku 7 za biashara ili kuchakata na haina uhakika.
9 - Je, kunavyo vizingiti kwa yaliyomo kwenyetovuti yangu?
Lengo kubwa kwa tovuti zote zinazoendeshwa na ProZ.com lazima ziwe za utafsiri au ukalimani. Kwa kuongezea, mistari miongozo ya kawaida inayokubalika katika utumiaji wa mtandao lazima ifuatwe; tafadhali somaKanuni za uendeshaji wa hudumakwa taarifa zaidi.
Ili kuseti tena nywila yako, anza katika ukurasa wako wa taarifa ya uendeshaji. Fanya dokezo la jina la mtumiaji lililoorodheshwa hapo. Kisha bofya kiungo cha “paneli dhibiti” yako.
Bofya "katisha" kwenye kidadisi cha nywila ambacho huibuka juu.Utaelekezwa kwenye ukurasa ambao unasema "Ufikivu haukubaliki. Kama umepoteza nywila yako, unaweza kuiseti tena kwa kuingiza jina lako la mtumiaji". Ingiza jina lako la mtumiaji katika uga huo na bofya kitufe cha wasilisha.Ujumbe utatumwa kwenye anwani yako ya baruapepe inayohusishwa na akaunti yako ya uendeshaji ambao utakuelekeza jinsi ya kuseti tena nywila yako. Kama hautapokea baruapepe hii, tafadhaliwasilisha ombi la msaada.
11 - Nitaanza vipi na uendeshaji wa akaunti yangu?
Tazama Maelekeo ya Kuanza kwa taarifa zaidi kuhusu upigaji saini wa akaunti ya uendeshaji,usimamizi wa jina la kikoa, ukitumia paneli dhibiti, uundaji na upakizaji wa kurasa zako za tovuti, na ufikivu wa baruapepe yako.
12 - Je, nawezaje kuunda tovuti kwenye ProZ.com?
Kama wewe ni mwanachama kamili, unaweza kujiandikisha kwa uendeshaji na ProZ.com kutoka kwenye ukurasa taarifa kuhusu uendeshaji, kwa kusajili jina la kikoa au kikoa kidogo chako. Kisha unaweza bofya kwenye ikoni ya Muundaji wa tovuti ya ProZ.com ili kuunda tovuti yako yenye muonekano wa kitaalamu kwa dakika bila kufahamu HTML yoyote. Kwa kutumia maudhui kutoka kwenye umbo lako na taarifa unayotoa kwenye ProZ.com muundaji wa tovuti anakusanya tovuti inayotumika kikamilifu kwa dakika.
13 - Je, ninawezaje kipakiza taswira hadi kwenye tovuti yangu kwa kutumia Muundaji Tovuti ya ProZ.com?
Ili kujifunza jinsi ya kuongeza taswira kwenye tovuti yako ukitumia Muundaji Tovuti ya ProZ.com, tazama videohii.
14 - Je, naweza kusanifiwa tovuti langu na msanifu wa tovuti badala ya kutumia muundaji wa Tovuti?
Ndiyo. Unaweza kusanifiwa tovuti yako na msanifu wa tovuti. Bora tu uhakikishe msanifu asitumie ASP kuunda tovuti.
15 - Ninawezaje kutumia vipengele vya uendeshaji wa baruapepe?
Tazama tuma jinsiya kwa taarifa kuhusu utumiaji wa vipengele vya baruapepe vya akaunti yako ya uendeshaji.
16 - Ninawezaje kutumia FTP isiyo na jina au kuunda akaunti mpya ya FTP?
Tazama FTP howto kwa taarifa kuhusu utumiaji wa vipengele vya FTP vya uendeshaji wa akaunti, pamoja na FTP isiyo na jina na uwekaji wa akaunti ya ziada ya FTP.
17 - Ninawezaje kutumia vikoa zaidi ya moja, vikoa vidogo, au vipengele vingine pevu vya vikoa husiani?
Tazama waraka wa j jina la kikoa JINSIYA kwa taarifa kuhusu vipengele vya vikoa husiani hivi au vingine.
18 - Ninawezaje kufikia kihariri cha WYSIWYG?
Ili kuhariri tovuti yako na uhariri wa WYSIWYG (what-you-see-is-what-you-get), kwanza ingia kwenye paneli dhibiti yako. Kisha bofyaikoni ya "msimamizi wa faili".Tovuti yako iko kwenyempangilio orodha wa "umma_html".Abiri kwenye mpangilio orodha wa umma_html kwa kubofya ikoni ndogo ya kabrasha upande wa kushoto wa "umma_html". Ili kuhariri ukurasa wako wa kelezo, kwanza bofyafaili ya "kielezo.html". Katika kidirisha cha upande wa juu kulia utaona vitendo kadhaa ambavyo unaweza kuvifanya kwenye faili hii. Unaweza kuhariri msimbo wa HTML moja kwa moja kwa kuteua "Hariri Faili", au unaweza kutumia kihariri cha WYSIWYG kwa kuteua "Kihariri cha HTML".
Kumbuka kwamba kihariri cha WYSIWYG hakiauniwi rasmi na mtandao wa Explorer toleo la 6 na juu zaidi, na imeripotiwa kufanya kazi na vinjari za msingi wa Mozilla kama vile firefox.
19 - Je, nawezaje kufikia paneli dhibiti yangu?
Unaweza kufikia paneli dhibiti yako kwa kucharaza h1.host.proz.com/cpanel kwenye upau wa anwani yako ya kivinjari. Punde usajili au uhamisho wako wa kikoa umekamilika, unaweza badala yake kufikia paneli dhibiti yako kwa kucharazawww.yourdomain.com/cpanel (kubadilisha yourdomain.com na jina lako). Waweza pata kiungo hadi kwenye paneli dhibiti yako kwenye taarifa ya uendeshajiyako.
20 - Siwezi kuunganisha kwenye paneli dhibiti yangu au barua za tovuti, na ninatumia firewall ya kibinafsi.
Paneli dhibiti yako na kiolesura cha barua za tovuti zinatumia “vituo” vya kubadilishana ambavyo kwa kawaida havitumiki kwa ufikivu wa tovuti. Kama huwezi kuunganisha kwenye paneli dhibiti yako au barua za tovuti, na unatumia firewall ya kibinafsi.kuna uwezekano kuwa firewall yako inazuia ufikivu wako. Jaribu kusanidi firewall yako ili kuruhusu miunganisho ya outbondhadi kwenye vituo vya TCP 2082 na 2095, ambavyo ni vituo vinavyotumika na paneli dhibiti yako na barua za tovuti, mtawalia.
21 - Je, ni wapi ninaweza kupata Nyaraka za cPanel?
Unaweza kupata nyaraka kuhusu paneli dhibiti kwa kufuata kiungo hikiNyaraka kuhusu cPanel.
22 - Ninawezaje kupata taarifa kuhusu akaunti yangu katika mfumo nzee wa uendeshaji?
Taarifa kuhusu akaunti yangu katika mfumo wa urithi wa uendeshaji unapatikana kwenye href="http://www.proz.com/?sp=hosting/index">http://www.proz.com/?sp=hosting/index.
23 - Ninalo furushi maalum la uendeshaji. Ninaweza kubadilisha jina langu la kikoa cha uendeshaji?
Ndiyo. Ili kubadilisha jina la kikoa chako lililotumiwa pamoja na furushilako maalum la uendeshaji, wasilishaombi la msaadabainisha jina mpya analotaka kutumia. Kama tayari haumiliki kikoa kipya, lazima kwanza uinunue kwa kubofya "nunua sasa" katikakikasha cha "usajili wa jina la kikoa" katikaukurasa wa taarifa ya uendeshajiwako.
24 - Ninawezaje kupata faharasa ya tovuti yangu ya uendeshaji na injini za utafutizi?
Tazama ukurasa huu kwenye Onesho la Utafutizi wa Ingini kwa taarifa nzuri kuhusu uwasilishaji wa tovuti lako katika tafutizi la ingini nausadifishaji wa tovuti lako kwa utafutizi kwa wategemezi kama hao.
25 - Je, wasajili wa vikoa wanahitajika kuwakumbusha wamiliki wa vikoa kuthibitisha taarifa ya wasiliani wao kila mwaka?
Ndiyo, wasajili wa vikoa wanahitajika kuwakumbusha wamiliki wa vikoa kuthibitisha taarifa ya wasiliani wao kila mwaka.
26 - Je, ninaweza kupata wapi msimbo wa uidhinishwaji inayohitajika kuhamisha kikao kutoka ProZ.com hadi kwenye masajili mpya?
Unapaswa kuweza kupata msimbo wa uidhinishwaji wa kuhamisha vikao vyako kwa kuenda kwenye /?sp=host/info na kubofya kwenye "Simamia Kikao Changu".
27 - Ninawezaje kuhariri taarifa ya wasiliani na maelezo mengine ya jina langu la kikoa?
Kama ulisajili jina lako la kikoa kwenye ProZ.com, unaweza kusimamia taarifa ya wasiliani na maelezo mengine ya jina la kikoa chako kutoka katika paneli dhibiti ya kikoa chako. Anza katika ukurasa wako wataarifa ya uendeshajina bofya "simamia kikoa changu".
28 - Kwa nini nimesitisha kupokea baruapepe zinazotumwa kwenye akaunti yangu?
Baruapepe yako inaweza kuwa zaidi ya quota (Hiyo ni, Inaweza kuwa imetumia nafasi yote ya diski ambayo umeigawia).
Ili kuona nafasi ya diski iliyotumiwa na akaunti yangu ya baruapepe, ingia katika paneli dhibiti yako, bofya "Barua", kasha bofya "simamia/Ongeza/Toa Akaunti", kasha bofya"Onyesha Nafasi ya Diski Iliyotumika".Kama nafasi ya diski iliyotumiwa kwa akaunti inapita quota ya akaunti hiyo, Haitaweza tena kupokea barua.Unaweza kuongezea quota ya diskiya akaunti kwa "Badilisha Quota". Kumbuka kwamba nafasi yote ya diski iliyotumiwa na akaunti inahesabiwa, ikiwemo Taka, Spambox, na makabrasha ya Rasimu.
29 - Inaonekana mtu anatuma BARUA TAKA kutoka kwa anwani yangu ya baruapepe. Nifanye nini?
Njia moja inayotumika na watumaji barua taka ni kugusha anwani ya “Kutoka” anbayo barua taka yao inetumwa. Kama anwani ya baruapepe iliyogushwa ni moja wapo ya zile barua unazopokea, basi barua taka isiyofika itarejeshwa kwako. Kuna hatua kadha unaweza kuchukua ili kushughulikia swala hili.
1. Kama anwani za baruapepe ziliyogushwa ni mojawapo ya zile usizozitumia. Kama vile 123@{mydomain.com}, unaweza kuwacha kupokea ujumbe usiyofika kutumwa kwa anwani zisizotumika. Ilikufanya hivyo:
* Ingia kwenye uendeshaji wako wa paneli dhibiti, kwa kubofya "[paneli dhibiti]" kwenye ukurasa wa taarifa kuhusu uendeshaji.
* kwenye paneli dhibiti yako, chini ya "Barua", chagua "Anwani ya chaguo-msingi"
* Kwenye fomu ya" Barua isonjia", teua "Puuza zenye kosa kwa mtumaji (wakati wa SMTP)" na kisha ubofye "Badilisha"
2. Kama anwani ya baruapepe iliyogushwa ni moja wapo ya zile unazotumia, ongeza kichujio ili kupuuza ujumbe zisizofika za barua taka zinazoingia.
* Kwanza, angalia kwenye ujumbe usiyofika fungu la kawaida ambalo halitaonekana kwenye baruapepe unazotaka kupokea .Kwenye hatua zifuatazo ,utasababisha ujumbe wote uliyo na fungu hilo kupuuzwa kiotomatiki.
* Ingia kwenye uendeshaji wako wa paneli dhibiti, kwa kubofya "[paneli dhibiti]" kwenye ukurasa wa taarifa kuhusu uendeshaji.
* Kwenye paneli dhibiti yako, chini ya "Barua", chagua "Kichujio cha Kiwango cha Mtumiaji".
* Bofya "Simamia Vichujio" kando ya anwani ya baruapepe ambapo ujumbe wa barua taka usiyofika unatumwa.
* Bofya kwenye kitufe cha "unda kichujio kipya"
* Chini ya "Kanuni", chagua "Mwili", "yaliyomo", kisha ingiza kifungu unacho chuja dhidi yake. Chini ya "Vitendo", teua "Puuza Ujumbe". Kisha bofya "Wezesha".
3. Unaweza kusaidia seva zengine za barua kugundua barua gushi kutoka kwa kikoa chako kwa kuweka mpaingilio wa “ Uhalalishaji wa baruapepe”. Kufanya hivyo:
* Ingia kwenye uendeshaji wako wa paneli dhibiti, kwa kubofya "[paneli dhibiti]" kwenye ukurasa wa taarifa kuhusu uendeshaji.
* Kwenye paneli dhibiti yako, chini ya "Barua", chagua " Uhalalishaji wa baruapepe "
*Kwenye " Uhalalishaji wa baruapepe " bofya kwenye kitufe cha "Wezesha" kando ya "Funguo za vikoa" na "SPF"
30 - Siwezi kuhamisha kikoa changu cha sasa kwenye ProZ.com kwa sababu usajili wangu umefungwa.
Kampuni ambayo umejisajili nayo kwa sasa inayousajili-fungwa, ambayo inahitaji kufunguliwa ili kuhamisha kikoa chako hadi to ProZ.com. Msimbo wa kufungua unahitaji kuingizwa katika usajili wa asili ambao unahamia kwayo. Hata hivyo, unaweza kujua jinsi ya kufungua kikoa katika FAQ za kampuni na/au kwa kuwasiliana na msaada.
31 - Ningependa kuendesha vikoa viwili, Ninawezaje kufanya hivyo?
Kama mwanachama wa ProZ.com unalo chaguo la kuwa na kikoa kimoja kinachoendeshwa kwenye seva zetu.
Hata hivyo, ukiwa na furushi la uendeshaji wa juu unaweza kuendesha hadi vikoa 5 za ziada (k.m. vikoa 6 kwa jumla) kwaEUROS/5$ kila mwezi. Unaweza kupata taarifa ya maelezo zaidi hapa. Kwa kutumia vipengele vya "Vikoa vya Addon”ndani ya Paneli ya c, unawezakuipatia vikoa hivi vya ziadaili kuonyesha makabrashatofauti ndaniya/umma_html, ikiruhusu hadi tovuti 6 tofauti kwa jumla.
32 - Nikiunda tovuti yangu kwa kupitia ProZ.com, je, nitakuwa na kikoa changu binafsi?
Ndiyo, ukiendesha tovuti yako kwenye ProZ.com, utakuwa na jina lako binafsi la kikoa.
33 - Kunavyo vipimo kuhusiana utumiaji wangu wa kipimodata cha kila mwezi?
Kunacho MB 1000/kipimo cha mwezi cha furushi la uendeshaji maalum (ambacho kinakuja na uanachama), na kuna NB 2000/kipimo cha mwezi cha furushi la uendeshaji wa juu (inaweza kununuliwa kwa kuongezeka kwa EURO/5$ kila mwezi).
34 - Nilipokea ujumbe kuwa kikao changu kimefika kiwango chake cha kipimodata. Hii ina naana gani?
Ujumbe huu unarejelea idadi ya data iliyohamishwa kutoka na hadi kwenye seva. Kila wakati mgeni atatazama faili (kama ni ukurasa wavuti, taswira, video, au faili sikizi), faili hiyo lazima ihamishwe hadi kwenye tarakilishi ya mgeni. Kipimodata ni ukubwa kamili wa faili hizi zote zinazohamishwa hadi kwenye tarakilishi ya wageni. Ujumbe huu unaashiria kuwa matumizi yako ya kipimodata yamepitisha kiwango. Hii si sawa na quota ya diski (idadi ya data inayohifadhiwa kwenye seva).
Fuhurushi za kawaida za uendeshaji zina kiwango cha hadi MB1000 ya kipimodata kwa mwezi; furushi za uendeshaji za awali ni za kiwango cha hadi MB 2000 ya kipimodata kwa mwezi.
Ukipitisha kiwango chako cha kipimodata, tafadhali wasilisha ombi la msaada na fikirie kupandisha daraja fuhurusi lako la uenedeshaji.
35 - Nini hufanyika na tovuti yangu kama muda wa uanachama wangu wa ProZ.com umeisha?
Kama muda wa uanachama wako wa ProZ.com umeisha na tovuti yako imeahirishwa, una uwezo wakufanya tovutiyakokurejeshwabaada ya kununuatovuti mpya ya uanachama.
Kama umenunua uanachama mpya na ungetaka tovuti yako kurejeshwa, tafadhali wasilishaombi la msaadana ubainishe jina lako la kikoa ili akaunti yako ya tovuti iweze kuamshwa tena.
36 - Je nawezaje kufuatilia matumizi ya kipimodata yangu?
Waweza kutazama matumizi ya kipimodata kwa kuangalia kiolesura cha cPanel; matumizi yako huonyeshwa kwenye upande wa kushoto kama “Uhamisho wa Kila Mwezi wa Kipimodata”.
37 - Je, ninaweza kusajili upya jina langu la kikoa bila ya kusajili upya uanachama wangu wa Proz?
Tunawaomba waso-wanachama kuhamisha vikoa vyao hadi kwa msajili mwingine wa vikoa.
38 - Ninawezaji kusanidi kikoa changu cha ProZ.com katika Gmail?
Hii inaweza kutimizwakwa njia ya matumiziya upelekaji mbele.
Katikapaneli dhibiti yako, bofya ikoni yaBarua kwenye skrinikuu. Bofya "Upelekaji mbele" kwenye menyuya barua.Hatimaye,bofya "[ongezaForwarder]" katika ukurasa unaofuata.
Tumia fomuya majibuili kuingiza upelekaji mbele kwa kila akaunti(Kumbuka kwamba unahitaji tu kuingizakiambishi awalikm:Akaunti yangu1, akaunti yangu2, nk.) ili utumwe kwaakauntiyako ya Gmail.Hakikisha kwamba umeingiza akaunti yako ya Gmail kikamilifu katika sandukula linalotarajiwa.
Mara hii inakamilikaunaweza kutumiakiolesura cha mtandaowa Gmail kwakupanga zaidiujumbe wakoukizingatiaanwaniya mpokeajiikiwa utapendelea.
Wakati uwezo wa Gmail wa kuingia katik aakauntizako zilizoponirahisi, haitatui masuala yausimamizi wa akauntiyakokiundani ya nchi. Kimsingi,ungepokea kila ujumbe mara mbili -mara moja kiundani na kisha tena wakati Gmail unaungana ili kurudisha ujumbe.
Kwa kutumia upelekaji mbele badala yake, hauhitaji kusimamia akaunti kwa kupitia paneli dhibiti yako.Ujumbe wako unatumwa kwa urahisi moja kwa moja hadi kwenye Gmail katika shughuli moja.
39 - Je, nawezaje kusanidi mteja wangu wa baruapepe kusoma na kutuma baruapepe iliyoendeshwa na ProZ.com?
Kutoka kwenye kiolesura cha cPanel yako, nenda kwenye “Akaunti za Baruapepe”. Kwa haki za baruapepe husika chini ya “ Vitendo”, bofya Zaidi, kisha teua “Sanidi Mteja wa Baruapepe”.
40 - Sina uwezo wa kutuma baruapepe, lakini ninaweza kupokea baruapepe kwa usahihi
MaISP kadha, kama vile Verizon FIOS zinazuia kituo 25 ili kupunguza barua taka kutoka kwa tarakilishi zilizo na maradhi. Tatizo ni kwamba, hii inazuia pia nyendo halali. Kama unashuku ISP yako inazuia kituo 25 na kukuzuia kutuma baruapepe, sanidi mteja wako wa baruapepe atumie kituo 587. Verizon wametoamaelezo ya hatua-kwa-hatua ya mchakato huu, na inetoamafafanuzi ya maelezo zaidi kuhusu sera zao.
41 - Nawezaje panua tovuti yangu iliyoendeshwa zaidi ya kile Muundaji Tovuti anaweza kutoa?
Muundaji Tovuti wa ProZ.com ilikuzwa kuwatolea wanachama wetu njia ya haraka hadi kwenye uwepo wa tovuti, inafuanana na brosha. Kwa watumiaji wengi, hii hutosheleza mahitaji yao. Kwa wengine, suluhisho lenye nguvu zaidi linahitajika.
Mwenye tovuti anayetumia tovuti iliyoendeshwa na ProZ.com anachaguo la kuunda tovuti yake kutoka mwanzo, akitumia HTML kanari ya PHP yenye uwezo. Watumiaji wengi hutumia viunzi vya wahusika wa tatu, kama WordPress au Joomla, ambazo zinawaruhusu kubinafsisha mfuatano wa violezo na modules ili kuleta utekelezaji wanaohitaji.
Kwa ufupi, mwanachama yeyote ana uhuru wa kusakinisha kiunzi cha mhusuka wa tatu zenye nguvu zaidi kama wanahisi kuwa toleo lao la kawaida halitoshelezi mahitaji yao.
42 - e, ninaweza kusakinusha Mfumo wa Usimamizi wa Maudhui wa (CMS) kama vile Joomla! au WordPress katika akaunti yangu ya uendeshaji?
Ndiyo, wanachama wengi wamesakinisha CMS kwa usafinifu ikijumuisha Joomla!, WordPress, na Drupal. Hata hivyo, kutatua makosa bainishwa na chaguo la ini_set() PHP (imeelezewa kwa undani hapa: http://drupal.org/node/54152) inaweza kuhitaji wafanyi kazi kuingilia kati. Tafadhaliwasilisha ombi la msaadakama unahitaji usaidizi.
43 - Je, ninaweza kuwa na vikoa zaidi ya moja kwenye akaunti hiyo hiyo ya uendeshaji?
Inawezekana kuendesha hadi vikoa 6 ukiwa na furushi la Uendeshaji wa Juu. Maelezo: taarifa ya uendeshaji .
(Ukitumia vipengele vya "Vikoa vya Addon”ndani ya Paneli ya c, unawezakuipatia vikoa hivi vya ziadaili kuonyesha makabrashatofauti ndaniya /umma_html, yakiruhusu hadi tovuti 6 tofauti kwa jumla).
44 - Nimelipia jina langu la kikoa, lakini ombi la usajili wa kikoa bado halijafanyiwa mchakato.
Kumbuka kwamba kikoa kipya na uhamisho kwa jumla huchukua saa 24 hadi 48 kuingizwa kwenye hifadhidata ya seva ya jina.Uhamisho kutoka msajili tofauti unaweza kuchukua hadi wiki moja.
45 - Kuunganisha kwenye tovuti langu napata ujumbe wa onyo kuhusu kuishaji muda kwa cheti cha usalama.
Usitie shaka, tafadhali wasilisha ombi la usaidizi ili kusasisha cheti cha usalama kwenye hati mpya ya cheti cha ProZ.com.
46 - Baada ya kupakia faili yangu ya kikoa kidogo cha html kwenye kabrasha la public-html/cig-bin, Ninaweza kupata ujumbe wa kosa.
Ili kikoa kidogo kiweze kufanye kazi kama ilivyokusudiwa, lazima uweke faili ya index.htmlauindex.php kwenye mpangilio orodha wa HABARI uliyounda. Hauna haja ya mpangilio orodha wa cgi-bin, ambao unakusudiwa tu kwa faili hati za .cgi.
47 - Je, nawezaje pakiza faili ili kugawiza?
Umaweza kufaya faili zako ziweze kufikika kwa umma kwa kuziweka kwenye kabrasa lako la public_html.
Ili kupakiza faili kutoka kwenye paneli dhibiti yako ("[Paneli dhibiti]" chaguohapa) ingia tu kwenye sehemu ya “Msimamizi wa Faili” na utafute kabrasa la public_html. Fungua kabrasa kwenye dirisha tofauti au kichupo na ubofye "Pakiza faili”. Dirisha la faili itafunguka ili uweze kupakiza faili.
Punde faili zimepakizwa, unaweza kuwapa wengine ufikivu kwa kuwatolea URL:ifuatayo
http://your_website_name/your_file_name.extension
Kumbuka: Kagua ukubwa wa faili unaopakiza ili kuzuia kupitisha quota yako. Pia, hakikisha kuwa faili hazianzi na herufi kubwa.
48 - Tovuti yangu haijafahiriswa na ingini tafutizi. Je, naweza kufanya nini?
Tovuti zilizoundwa hivi majuzi zinaweza kuchukua muda kabla ya kufahirisiwa na ingini tafutizi. Hata hivyo, kama tovuti yako imekuwepo kwa muda sasa, jaribu kujiunga kwa tovuti yako kutoka kwa tovuti tafauti au ujumbe wako wa baruapepe. Hii inaweza kuongeza nyendo kwenye tovuti yako na kukuweka kati ya matokeo ya ingini tafutizi.
49 - Je, naweza kutumia faili za aspx kwenye fuhurusi langu la uendeshaji?
La. Furushi la uendeshaji la ProZ.com haiauni faili za aspx.
50 - Je, nawezaje kusakinisha MySql kwa ajili ya Wordpress?
Ili kusakinisha MySql kwa ajili ya Wordpress, nenda kwenye akaunti yako ya cPanel kisha kwenye "MySQL® Wizard ya Hifahdidata".Mfumo utakuelekeza kuhusu mchakato wa usakinishaji.
Unaweza kusimamia Hifadhidata yako ya MySQL ukitumia ikoni enye lebo ya" Hifadhidata za MySQL ".
51 - Ninapata kosa 500 la seva ya ndani ninapojaribu kufikia tovuti langu. Je, napaswa kufanya nini?
Nendakwenye kiolesura chako cha Paneli ya c nabonyezaikoni ya "Kosa la kungia".Kiolesurahiki kitakuonyeshaujumbe 300 za mwisho za Kosa la Kungia katika njia ya fallande,na makosa mapya ya hivi karibuni hapo juu.
Pindi unapoangalia ujumbe wa kosa, tunapendekeza kutafuta ujumbe wa kosa kwanza kwa kutumia injini ya utafutizi na kuona kama hii ni ya kawaida, kosa linaloweza kurekebishwa. Kama wewe bado huna uhakika wa sababu ya kosa, tafadhali toa fungu la juu la maingizo (10-20) ya kosa la kuingia lako katika ombi la msaada.
52 - Siwezi kuingia kwenye anwani yangu ya baruapepe iliyoenedeshwa na ProZ.com. Je, nifanye nini?
Kagua kama unatumia anwani yako ya baruapepe kama jina lako la mtumiaji unapoingia. Kama unaweka jina sahihi la kuingia na bado huwezi kuingua, tafadhali wasilishaombi la msaada na ujulishe wafanyikazi wa tovuti kuwa umejaribu anwani yako kamili ya baruapepe kama jina la kuingia na uwafahamishe kama ulipokea ujumbe wowote wa onyo.
53 - Nataka kutuma baruapepe lakini isihifadhiwe. Je, naweza kufanya nini?
Usiunde anwani ya baruapepe, unda kituma mbele tu.
Kama baruapepe hiyo yote imeshatumwa mbele, unaweza kufuta anwani hiyo ya baruapepe na tuma mbele itafanya kazi ipasavyo.
54 - Je, SSL imeauniwa kwa akaunti zinazoendeshwa na ProZ.com?
SSL haijaauniwa kwa akaunti zilizoendeshwa na ProZ.com. SSL kwa kawaida huhitaji matumizi ya anwani ya IP maalumu. Uendeshwaji wa akaunti za ProZ.com zimegawiza anwani za IP, na anwani maalumu za IP hazipatikani.
55 - Je, akaunti ya uendeshaji itaauni PHP, MySQL, mod_rewrite Apache module nikifungua chanzo-wazi cha WordPress?
mod_rewrite Apache module yapasawa kuauniwa kama unatumia chanzo-wazi cha WordPress,lakini sio PHP 5.2.4 au MySQL 5.0.4.