Jifunze kuhusu hafla na vikao vya mafunzo ambavyo huandaliwa na ProZ.com na wanachama wa ProZ.com.
Vikao vya mafunzo vya ProZ.com vya mtandaoni na nje ya mtandao hutoa mafunzo ya kitaalam kwa wafasiri, wakalimani na watu wengine ndani ya sekta za lugha. Vikao hivi hutolewa na wataalam wenye ujuzi uliothibitishwa katika nyanja zao.
Powwows ni mikusanyiko isiyokuwa rasmi ya vikundi vya watumiaji wa ProZ.com wanaoishi katika ujirani wa karibu. Hafla hizo huandaliwa na wafasiri wa ndani, kwa ajili ya wafasiri wa ndani.
Mikutano ya ProZ.com hutoa fursa za mtandao kwa kila mtu, mafunzo, mazungumzo, maonyesho, maendeleo ya kitaalam na ushirikiano, ambavyo hugawanywa katika wito wa mkutano: Mikutano ya ProZ.com - mafunzo, mtandao na burudani!