Unahitaji kupatia kazi watafsiri arijojo au makampuni ya tafsiri?

Huku wakiwa na zaidi ya watafsiri wa kitaalamu 300,000 na makampuni ya tafsiri --na bila malipo au ada yoyote inayotozwa kwa wateja --ProZ.com inakupa orodha ya wataalamu ya huduma za tafsiri kubwa zaidi. Watafsiri arijojo wanaofanya kazi katika lugha za Kihispania, Kijerumani, Kiitaliano, Kichina, Kiarabu, Kijapani na lugha nyingine, na wanaotilia mkazo nyanja mbalimbali kama vile za kisheria, kimatibabu, kiufundi na nyinginezo wanaweza kufikiwa moja kwa moja.Watafsiri wengi wa kitaalamu na wakala wa tafsiri huonyesha ada yao na/au huweza kutoa kile wanacholipisha.
ili
(pia: watafsiri arijojo katika lugha zaidi)

Je unatafuta kazi au ajira za tafsiri?

Huku wakiwa wale wanaoongoza katika kiwanda cha tafsiri, ProZ.com ndiyo inyaoongoza katika kuwa
chanzo cha kazi za tafsiri na ajira za tafsiri kwa watafsiri arijojo. Kama wewe ni mtafsiri
wa kitaalamu au unaendesha wakala wa tafsiri, unaweza kujisajili na kuunda umbo lako bila malipo.
Kuwa mwanachama kamilifu ili kuzidisha fursa zako za kutangamana na watafsiri wengine na wataalamu na kuweza kupata kazi za tafsiri.Mtazamo wa haraka katika ProZ.com

Maswali ya tafsiri ya hivi punde zaidi yaliyoulizwa kupitia KudoZ:

Kiingereza hadi Kiserbia
Mazingira na Ikol...
pre-scrubber / scrubber (Majibu: 0) 1 minute ago
Kiingereza hadi Kitaliano
Akiolojia
feature (Majibu: 0) 2 minutes ago
Kiingereza hadi Kifaransa
Automotive / Mag...
Si ya ujuzi: Talon wheels (Majibu: 0) 4 minutes ago
Kijerumani hadi Kifaransa
Nyingine
aufschweissen (Majibu: 0) 12 minutes ago
Kiingereza hadi Kituruki
Mekaniki/Uhandis...
clik - clak fitting system (Majibu: 1) 14 minutes ago
3,553,720 Maswali ya tafsiri yaliyoulizwa

Kazi za tafsiri za hivi punde zaidi zilizowekwa:

Norwegian to English
NO - EN CV translation  7 minutes ago
English to Slovenian
Marriage certificate, English to Slovenian, 150 words by 18.08.2017 2 p.m 19 minutes ago
Italian
Potential Italian to Italian Transcription, 20.5 hours  24 minutes ago
Kiingereza hadi Kiromania
Kiingereza hadi Kitaliano
McDonalds Happy Meal Box Text 38 minutes ago
Spanish to English
Customer letter from Spanish to English - 312 words 44 minutes ago
643,221 Kazi za tafsiri zilizowekwa .

Matukio yanayokuja ya ProZ.com (mtandaoni na nje ya mtandao):

Powwow Montelimar, UfaransaUsajili 4Aug 27
Powwow Sligo, Ayalandi/IrelandikiUsajili 3Aug 30
Powwow Jundiaí, BraziliUsajili 6Sep 2
Powwow Hamburg, UjerumaniUsajili 5Sep 2
Powwow Århus, DenmakiUsajili 27Sep 9

ProZ.com ya kikwetu: Marekani | Utaliano/Italia | Ujerumani | Ufaransa | Ajentina | Urugwei
All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search