https://swa.proz.com/

Unahitaji kupatia kazi watafsiri arijojo au makampuni ya tafsiri?

Huku wakiwa na zaidi ya watafsiri wa kitaalamu 300,000 na makampuni ya tafsiri --na bila malipo au ada yoyote inayotozwa kwa wateja --ProZ.com inakupa orodha ya wataalamu ya huduma za tafsiri kubwa zaidi. Watafsiri arijojo wanaofanya kazi katika lugha za Kihispania, Kijerumani, Kiitaliano, Kichina, Kiarabu, Kijapani na lugha nyingine, na wanaotilia mkazo nyanja mbalimbali kama vile za kisheria, kimatibabu, kiufundi na nyinginezo wanaweza kufikiwa moja kwa moja.Watafsiri wengi wa kitaalamu na wakala wa tafsiri huonyesha ada yao na/au huweza kutoa kile wanacholipisha.
ili
(pia: watafsiri arijojo katika lugha zaidi)

Je unatafuta kazi au ajira za tafsiri?

Huku wakiwa wale wanaoongoza katika kiwanda cha tafsiri, ProZ.com ndiyo inyaoongoza katika kuwa
chanzo cha kazi za tafsiri na ajira za tafsiri kwa watafsiri arijojo. Kama wewe ni mtafsiri
wa kitaalamu au unaendesha wakala wa tafsiri, unaweza kujisajili na kuunda umbo lako bila malipo.
Kuwa mwanachama kamilifu ili kuzidisha fursa zako za kutangamana na watafsiri wengine na wataalamu na kuweza kupata kazi za tafsiri.Mtazamo wa haraka katika ProZ.com

Maswali ya tafsiri ya hivi punde zaidi yaliyoulizwa kupitia KudoZ:

Kihispania hadi Kiingereza
Sheria (jumla)
con aportes la fecha la suma de (Majibu: 0) 7 minutes ago
Kihispania hadi Kiingereza
Sheria (jumla)
grupo previsora - positiva y fiduprevisora (Majibu: 0) 8 minutes ago
Kiingereza hadi Kihispania
Jumla / Mazungumz...
go for a sail (Majibu: 0) 15 minutes ago
Kihispania hadi Kijerumani
Elektroniki/Uhand...
rasgados (Majibu: 0) 15 minutes ago
Kifaransa hadi Kireno
Usafiri / Usafiri...
Produits secs (Majibu: 0) 15 minutes ago
3,567,903 Maswali ya tafsiri yaliyoulizwa

Kazi za tafsiri za hivi punde zaidi zilizowekwa:

Polish to English
Polish to English Online Gaming 27 minutes ago
Kiingereza hadi Kilatino
Kilatino hadi Kiingereza
Write in phonetics and record audio, short text for film  1 hour ago
English to Italian
Short English to Italian translation 1 hour ago
Spanish to English
Medical notes approx 3000 words Spanish > English BrEn native only 3 hours ago
Panjabi to English
Potential Interpreting Assignment: Punjabi<>English  4 hours ago
653,439 Kazi za tafsiri zilizowekwa .

Mazungumzo ya mdahalo ya hivi maajuzi:

1,361,537 jumla ya makala ya mdahalo yaliyowekwa

Matukio yanayokuja ya ProZ.com (mtandaoni na nje ya mtandao):

Powwow Orchard Road, SingapooUsajili 9Oct 25
Powwow Sligo, Ayalandi/IrelandikiUsajili 1Oct 26
Powwow Madrid, UhispaniaUsajili 2Oct 26
Powwow Southampton, UingerezaUsajili 6Oct 28
Powwow Llangennith..., UingerezaUsajili 4Nov 4

ProZ.com ya kikwetu: Marekani | Utaliano/Italia | Ujerumani | Ufaransa | Ajentina | Urugwei