ProZ.com frequently asked questions


Uanachama

Main

 • 1 - Membership: general

  There are currently two membership types available: Professional membership (for freelancers and other individuals) and Business membership (for translation companies).

  Professional members can purchase one of two available membership packages: the Standard service package (formerly known as Full membership), and the Plus service package (introduced in 2016).


  You may also be interested in:

 • viewing membership package types and costs, and their benefits

 • seeing what ProZ.com members have to say about their membership


 • 1.1 - Wanachama wa tovuti ni akina nani?

  Wanachama wa tovuti ni watumiaji wa tovuti ambao tayari wanao usajili wa uanachama uliolipiwa


  Wanachama wanayo baadhi ya upekee wa kufikia mtandaoni na hufurahia ufikivu kamili wa data yote, vipengele vyote na wateja wote kwenye tovuti. Na ni mali ya tovuti inayoboresha na kufafanua upya jinsi ambavyo utafsiri hufanywa.


 • 1.2 - Ninazingatiwa kama “mwanachama” wa ProZ.com ikiwa silipi?

  La. Istilahi “mwanachama” imetengewa kwa wale ambao wamechukua uanachama. (Hapo awali, istilahi “mwanachama” ilitumika kwa ujumla kujumuisha wote waliosajilishwa; mwakani 2005, istilahi ilibadilika kutafakari hoja kwamba pato la mwanachama ndilo hufanya tovuti kuwezekana.)


 • 1.3 - Ninawezaje kulipia uanachama?

  Unaweza kulipia uanachama wako ukitumia mojawapo ya njia zifuatazo:  Kadi

  Paypal

  Moneybookers

  Hundi au Money Order (yaweza kulipika tu ukitumia DOLA)

  Hamisho la Hela (katika YURO na DOLA)

  Pochi

  Western Union  1. Nenda kwenyeUkurasa wa Ununuzi wa Uanachama

  2. Bofya kiungo cha “nunua sasa” kilicho kando ya chaguo lako teuliwa la uanachama.

  3. Fuata maagizo katika kurasa zifuatazo ili kulipia uanachama wako.  Tafadhali fahamu kwamba kutegemea ni aina gani ya malipo utumiayo, hali ya uanachama wako huenda isiboreshwe siku yiyo hiyo. Kwa mfano, ukilipa ukitumia hamisho la hela, huenda ikachukua hadi wiki 2 kabla tupokee malipo yako.


 • 1.4 - Uanachama hugharimu hela ngapi?

  ul>

 • Tazama bei na faida za uanachama hapa>>

 • href="http://www.proz.com/uanachama/?sp_hali tumizi ndogo=machaguo_yote"> Tazama machaguo yote ya uanachama ukijumuisha machaguo panuliwa ya uwekezaji >> • Ada ya uwasilishwaji upya wa uanachama ni kidogo kuliko ada ya mara ya kwanza (upya) ya uanachama.

  Machaguo ya malipo ya janibu yanapatikana katika nchi nyingine, ambapo wakaazi wanalo chaguo la kununua uanachama wakitumia fedha zao za janibu na kwa punguzo juu ya bei ya mtandaoni.


  Watumiaji wa tovuti ambao wamekusanya pointi 4,000 au zaidi
  za browniz wanastahili punguzo katika ununuzi au usajili upya wa uanachama wao.


  Fauka ya haya, kuna machaguo ya kununua au kusajili upya uanachama kwa miaka miwili, tatu, tano, na kumi kwa wakati mmoja, kwa mapunguzo ya bei miaka nenda miaka rudi. Uanachama wa wawekezaji uliopanuliwa ni wanachama wa ProZ.com ambao wamechagua kuwekeza katika uanachama wao kwa miaka miwili au zaidi kwa mapema.


 • 1.5 - Ikiwa nitakuwa mwanachama, ninaweza kutarajia pato katika uwekezaji wangu?

  Hakuna uhakika, lakini kwa sasa asilimia kubwa ya ripoti za wanachama zilizofanyiwa utafiti zinalipa mapato chanya kwa uwekezaji.
  Kwa ujumla, karibu asilimia tisini ya wanachama hupata pato chanya ndani ya mwaka mmoja. Zaidi ya asilimia arobaini huripoti pato chanya ndani ya miezi 3. Hili linawezekana kwa sababu thamani ya kupatana na mteja mmoja kwa mara ya kwanza hupendelea kuzidi gharama ya mwaka ya uanachama. (Data mnamo Juni 2005)


 • 1.6 - Je, uanachama huleta tofauti yoyote katika kima ambacho ninaweza kutarajia kupata wateja wapya?

  Ndiyo. Wanachama wana uwezekano mara nne zaidi ya kupata wateja wapya kuliko watumiaji wa tovuti waso-wanachama. Tofauti inaendelea kukua tunapounda vipengele vipya vya wanachama-tu, na watu zaidi wanapoamua kujiunga na ProZ.com. (Uwiano wa sasa mnamo Juni 2005.)


 • 1.7 - Je, uanachama wa Proz.com utanisaidia kukutana na wateja? Cheti/shahada yangu si muhimu zaidi?

  Hayo mawili yako katika magongano. Kwa kuwa mwanachama, unazidisha tajriba yako, ili wateja wenye uwezo wanakupata (na vyeti vyako!) mara kwa mara. Licha ya hayo, kuwa na vyeti na shahada huzidisha kiwango ambacho unayo fursa ya kunufaika kutokana na uanachama.


 • 1.8 - Kwa nini wanachama (km. wale wanaolipa) wanakuwa na faida wakati wa kupatana na wateja? Kwa sababu tu unalipa, haimaanishi wewe ni hodari.

  Hatupendekezi kwamba watafsiri wafanye kazi za kibiashara bila kulipwa kwa kufanya hivyo. (Utafsiri uso-faida ni jambo jingine; hatuoni madhara katika kufanya utafsiri wa bila malipo wakati kazi yenyewe haitauzwa.)

  Ukitumia mantiki yiyo hiyo, sisi katika ProZ.com hutoa huduma nyingi sana bila ya malipo, lakini tunatofautisha na kazi za kibiashara. Kimsingi, tajriba kabla ya kuwalipa wateja ni huduma ambayo sisi hutoza. Kwa ubadilishanaji na uwekezaji wako, tunafanya kazi kwa bidii sana kwa sababu yako, na takwimu husema kwamba uanachama hulipia watafsiri wataalamu katika nchi yoyote na katika hatua yoyote ya kazi zao.


 • 1.9 - Kwa nini huwa unawatoza watafsiri kwa uanachama, badala ya makampuni ambayo huwatafuta?

  Kama wewe ni mtafsiri, sisi katika timu ya ProZ.com hukufanyia kazi. Tunaitazama kama kazi yetu kutoa zana na fursa ambazo unaweza kutumia kupanua biashara zako na kuboresha utalaamu wako. Tunafanya kazi kwa bidii na tunahisi kwamba tunafanikiwa katika kutoa thamani bora na huduma kwa wanachama wetu. Ni mwafaka na muhimu kwamba tutoze kwa kazi zetu.


 • 1.10 - Je, nikiamua kwamba sijatosheka na uanachama wangu—ninaweza nikapata urejesho?

  Ndiyo. ProZ.com hutoa uhakikisho wa utoshelezo kamili. Kama hujatosheka kikamilifu na uanachama wako wa ProZ.com, wasilisha ombi la msaada linalojumuisha njia ambayo ungependelea kupokea rejesho lako na taarifa ya akaunti. Rejesho lililopimwa kitaalamu litapokezwa, na ada zozote zilizopunguzwa za malipo zilizotozwa.  Kumbuka: Kadi nyingi za mikopo zinaweza kurejeshwa moja kwa moja hadi siku 60 baada ya ununuzi. Baada ya siku 60, urejesho unaweza kuchakatwa kupitia njia za malipo kama vile PayPal, Moneybookers, hundi, au hamisho la hela. Kwa sababu ya ada ghali ya uhamisho, hamisho la hela kwa kawaida si mbinu ipendelewayo kwa urejesho na ProZ.com huwa hairejeshi kupitia Western Union.


 • 1.11 - How can I benefit from the new automatic subscriptions?

  As of 2016, new annual automatic subscriptions are available for membership, when you choose to pay via credit card or PayPal. Opting for a subscription costs less than manual renewals, and you never have to worry about your membership lapsing. You can of course stop or start a subscription at any time.


 • 1.12 - Where can I see the status of my membership and subscription?

  You can see your membership type, renewal dates, subscription and billing information, and manage details of your ProZ.com membership on the membership management page, http://www.proz.com/manage-membership (mouse over your name at the top of any site page and select the option "Manage membership" to see these details).


 • 1.13 - Niliwasilisha malipo ya uanachama wangu lakini bado haijafanyishwa kazi. Ni nini kosa?

  Ikiwa uliwasilisha malipo ya uanachama wako na bado haijafanyishwa kazi/kusajiliwa upya, tafadhali wasilisha ombi la msaada na utoe taarifa ifuatayo:

  1. Njia ya malipo iliyotumika
  2. Kiasi kilicholipwa (kipengee cha uanachama kilichonunuliwa)
  3. Tarehe ya malipo
  4 KT ya shughuli
  5. Anwani ya baruapepe ya PayPal / Moneybookers (ikiwa kati ya njia hizi zilitumika)
  6.Shughuli ya KT ya PayPal / Moneybooker(ikiwa kati ya njia hizi zinatumika)
  7. Jina la mmiliki wa akaunti ya benki (ikiwa uhamisho wa hela ulitumika)

  Taarifa hii itasaidia wafanyikazi kupata malipo yako na kuchakata ununuzi wako.


 • 1.14 - Nikisajilisha upya uanachama wangu kabla umalizike, nini kitafanyika kwa tarehe yangu ya usajilishwaji upya?

  Kila wakati ununuapo usajilishwaji upya, au kwa mfano, ukuzaji wa programu ulio na uanachama wa miezi-sita, tunaongeza muda huo kwa muda ambao tayari unao katika uanachama wako wa sasa.

  Kwa mfano, kama uanachama wako unamalizika baada ya miezi mitatu na ununue uanachama wa mwaka mmoja, tarehe yako ya usajili itakuwa baada ya miezi 15.


 • 1.15 - Ninaweza kununua uanachama kwa niaba ya mwenzangu?

  Ndiyo. Ili kununua uanachama kwa niaba ya mtumiaji tovuti mwengine, nunua uanachama tu ni kama ilikuwa ya akaunti yako kasha wasilisha ombi la msaada ukibainisha KT ya mtumiaji na jina la tovuti la mwenzako ili wafanyikazi wahamishe uanachama uliyopatikana.


 • 1.16 - Tarehe ya kumalizika kwa uanachama wangu ni ipi?

  Tarehe yako ya kumalizika kwa au usajili upya wa uanachama wako ni ile inayoonyeshwa unaposogeza kipanya juu ya jina lako mwanzo wa kurasa za tovuti.

  Pia unaweza kutazama taarifa kwenye tarehe ya ubatili wa uanachama katika ukurasa wa uanachama.


 • 1.17 - Je, uanachama wangu utasajilishwa upya kiotomatiki utakapomalizika?

  Uanachama wako utasajilishwa upya kiotomatiki ukitumia chaguo la malipo ya mara kwa mara ya PayPal uliponunua uanachama wakati wa mwisho. La sivyo, utalazimika kusajilisha upya uanachama wako kwa kufuata hatua za malipo zilizoelezewa hapa.


 • 1.18 - I would like to purchase/renew my full membership for an extended period. Is it possible?

  No. The best option is to select the service package you prefer and purchase using the automatic subscription option (this is actually as cheap or cheaper than the previously-available multi-year options for membership).


 • 1.19 - Can I purchase/renew my full membership for a shorter period (i.e. less than a year)?

  No.


 • 1.20 - Ninaweza kuwasilisha ombi la kusimamishwa kwa kipindi cha uanachama wangu ikiwa sitapatikana kwa muda fulani?

  Maombi ya kusimamishwa kwa uanachama utatathminiwa katika misingi ya kesi-kwa-kesi na wafanyikazi wa tovuti. Endapo kunalo pumziko la uzazi, likizo, ugonjwa au maombolezo, wanachama huenda wakajaliwa uwezekano kwa kipindi cha uanachama wao umegandamizwa au umesimamishwa. Hata hivyo, maombi yatatathminiwa kibinafsi na mwanachama huenda akaulizwa kuwasilisha ithibati ya sababu ya ombi.

  Kuomba usimamishwaji wa uanachama wako, wasilisha tu, ombi la msaada na utoe ithibati yoyote husika ili wafanyikazi wa tovuti waweze kuchambua ombi lako zaidi na wafanye uamuzi.


 • 1.21 - What happened with partial and student memberships?

  As of October 2016, partial and student memberships are no longer available. As time went by, these alternative options to full professional ProZ.com membership were being selected by users less and less. For this reason, and as ProZ.com membership has become more accessible, these options have been discontinued. You may choose to upgrade to either the Standard or Plus package from your partial or student membership at any time, and during the initial launch of these packages, discounts have been introduced to allow you to start a full membership at a lower price (and lock in that discount for renewals). • Main - Top


 • 2 - The Plus service package


  The Plus service package was introduced in late 2016. It includes all of the services and benefits of the Standard package, plus a suite of new tools and services. See the services included in the Plus package here >> • 2.1 - What is included in the Plus service package? How is it different from the Standard package?

  The Plus service package includes all of the services and benefits of the Standard service package (until 2016, the Standard service package was known as Full membership). In addition, it includes a growing suite of new tools and services. You can compare the services included in both Standard and Plus packages here.

  You can also see each new feature release in the Plus package, view introductory videos, and give feedback on the Plus service package landing page.


 • 2.2 - Will members who choose the Plus package have advantages in the traditional ProZ.com directory over those who choose the Standard package?

  Directory ranking will not be affected by which membership package you have-- sorting will still be done with members in the first layer of results (regardless of membership package).


 • 2.3 - What is meant by "new client channels external to ProZ.com" in the Plus extras?

  The internet is going the way of the cloud, and in principle cloud technology presents the opportunity for the ProZ.com team to take steps to promote the services of ProZ.com members beyond the confines of ProZ.com. Imagine an LSP or client using, say, a mobile app to access you directly for translation or interpreting services, without ever needing to go to ProZ.com. Cloud technology makes that possible, and we have been taking steps in that direction.

 • 3.1 - How far along is the effort to establish that sort of "new client channel"?

  Efforts are in the early stages, and in any event, it takes time for habits to change. But we believe this is the future. What we have seen so far is that client activity at TM-Town is increasing, and separately, there are a few agencies already using ProZ.com cloud services to discover the services of ProZ.com members from within their own management systems. (Some of you reading this have been contacted.) We are also in discussions to establish partnerships to promote the translation and interpreting services of ProZ.com members.


 • 3.2 - What external channel-related features have been released so far?

  These are all detailed on the Plus service package landing page. From there you can read about each release, view introductory videos, and provide your feedback.


 • 3.3 - The value of the "external client connections" included in the Plus package is shown as $144+. Where does that figure come from?

  The value of the "external client connections" is difficult to quantify at this time. But we can say that membership in one of the "external channels" alone, TM-Town, costs $144 and is included in the Plus package.


 • 3.4 - I already have a paid TM-Town membership. What happens when I buy the Plus package?

  Your current TM-Town membership will be synced/extended to match the renewal date of your ProZ.com membership. If you are on a paid monthly plan, your payments will be stopped. If you are on a paid annual plan, you will be refunded the pro rata amount of the remainder of your membership period.


 • 3.5 - I am not interested in TM-Town, and the concept of "external channels" seems too vague to me right now.

  In that case, to be on the safe side, you might want to assume a value of zero for "external channels". • Main - Top


 • 2.4 - How is the value of the "basket" of tools from ProZ.com partners calculated?

  That is the sum total of the value of licenses confirmed so far to be included in the basket. It is planned that more will be added as the Plus package moves forward.


 • 2.5 - Will more features and services be added to the Plus package in the future?

  Yes. Just as the Standard package has been continuously built up over the years, so too will new benefits be added to the Plus package over time.


 • 2.6 - Will most of ProZ.com's efforts be directed at increasing the value of the Plus package, moving forward?

  Although decisions of which package to include a new feature or tool in will be made on a case-by-case basis, it is safe to assume that the majority of ProZ.com investment will be made in increasing the value of the Plus package to members.


 • 2.7 - What if I am not interested in some features of the Plus package?

  If you are not interested in using a part of the Plus package, no problem, just don't use it. All of the extra services and features are permission-based, allowing you to use what you want, in accordance with your own preferences and needs.


 • 2.8 - Can I upgrade from Standard to the Plus package?

  Yes. In checkout, your current membership will be calculated into a discount towards purchase of the Plus package. The discount will depend on the length of remaining membership.


 • 2.9 - Can I downgrade my Plus package to the Standard package?

  Yes, you can downgrade to the Standard package, but instead of cash being returned, your membership period will be extended by 25%. (So if you have four months of membership remaining with the Plus package, you can exchange it for five months with the Standard package.)


 • 2.10 - Why is there no "money back guarantee" offered with the Plus package?

  The nature of some of the services offered in the Plus package means that third-party licenses, payments to trainers and other partners may be made by ProZ.com at the time of your membership purchase, and those will not necessarily be refundable to ProZ.com. Instead of a pro-rated refund on your Plus package, you will be offered the option to switch to the Standard package. However, if you are in any way unsatisfied with your Plus package experience, please contact a member of the site team, we want to hear from you. • Main - Top


 • 3 - Business membership

 • 3.1 - What is business membership?

  Business membership is the ProZ.com membership option designed specifically for business users of ProZ.com, such as translation companies / agencies and other corporate language services providers.


 • 3.2 - What are the benefits of business membership?

  As full business participants in the world's leading translation portal and community, business members enjoy special exposure, privileges and standing in the ProZ.com community.

  In addition to being distinguished with a special business membership ribbon, business members gain the commercial benefit of inclusion in the business membership directories -- both public and private enterprise versions. They can also post standard jobs directly, without waiting for them to be vetted, and they enjoy direct telephone access to support. Discounts are available to business members on ProZ.com events, and also on access to the new ProZ.com CONNECT! platform for outsourcing and vendor management.

  For a full list of benefits, see: http://www.proz.com/business-membership


 • 3.3 - Where is the business directory?

  The business directory is at http://www.proz.com/translation-agencies

  It is accessible from the top navigation menu by going to "Directories" => "Companies".

  The business directory is also promoted from the freelancer directory and the new ProZ.com CONNECT! platform.


 • 3.4 - Are any of the benefits of individual membership included in business membership?

  Many of the benefits of individual membership are included in business membership, including full access to the Blue Board, job postings, unvetted forum postings, discounts on events, the right to organize powwows, etc.* However, benefits that make sense only for individuals -- such as inclusion in the freelancer directory -- are not included.

  * Access to networking features, which potentially affect other members, may be modified or revoked at the discretion of the ProZ.com team.


 • 3.5 - What happens to my current individual membership if I purchase a business membership?

  If you are already a standard member of ProZ.com, you have two options in taking out a business membership: (1) you can create a new profile specifically for business activities, purchasing the membership for this new profile, or (2) you can purchase the business membership under your current profile. If you choose option (2), the unused portion of your subscription fee will be converted into an extension of your business membership period.

  To have your individual membership converted to business membership, please submit a support ticket.


 • 3.6 - I understand I get 'test drive' access to ProZ.com CONNECT! as a business member. What is ProZ.com CONNECT!, and what does 'test drive' mean?

  ProZ.com CONNECT! is an enterprise-grade candidate sourcing and management platform that medium- and large-sized language companies and end clients are using to improve the effectiveness and efficiency of their back-office translation-related operations.

  Business members get 'test drive" access to this platform. In addition to providing a degree of market insight, in the form of greater insight into the ProZ.com database of candidates, this gives you an opportunity to determine if the solution is right for you.

  The advanced features of the CONNECT! platform are available only if you actually subscribe to the platform. As a business member of ProZ.com, you would be eligible to subscribe at a discounted rate.


 • 3.7 - How do I join as a business member?

  Go to: http://www.proz.com/business-membership


 • 3.8 - Are there any conditions under which a company that wants to join will be refused?

  The ProZ.com staff reserves the right to refuse business members on a selective basis. Companies with low average Blue Board entries may not be accepted as business members. Membership may also be refused to those with reports of non-payment on file from ProZ.com translators or interpreters. • Main - Top
  Request help  Site documentation  The member services and support team
  Jared
  Lucia
  Alejandro
  Helen
  Yana
  Maria D
  Karen
  Enrique Manzo
  Tatiana Dietrich

  Your current localization setting

  Kiswahili

  Select a language

  All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search