FAQ
 
 

ProZ.com conferences

ProZ.com conferences provide opportunities for in-person networking, training, discussions, presentations, professional development and socializing, which are encapsulated in the conference motto: ProZ.com conferences - learning, networking and fun!
See also: Virtual conferences
See also:
Keep up-to-date with the latest tools available in your market with trainings in your area.

Informal get-togethers of groups of ProZ.com users living in close proximity.

Frequently asked questions


 • 1 - Kongamano la ProZ.com ni nini?

  Makongamano ya ProZ.com ni hafla zilizolipiwa za kimaeneo au kimataifa, kubwa nabora zaidi kuliko powwows na zinalenga watafsiri na wakalimani sajiliwa wa ProZ.com. Inaandaliwa na Mshirikishi wa Makongamano ya ProZ.com namsaada wa moja au zaidi kutoka kwa wandalizi wa janibu.

  Makongamano ya Proz.com hutoa nafasi ya ushirikiano binafsi, mafunzo, mijadala, mawasilisho,ukuzi wa taaluma, na kushirikiana ambazo zimekumbatiwa kwenye kaulimbiu ya kongamano Makongamano ya ProZ.com–kusoma, ushirikianonatafrija!

  Angalia Makongamano ya ProZ.com kwenye video!


 • 2 - Ni nini tofauti kati ya makongamano ya kimaeneo na kimataifa?

  Makongamano yaKimataifa hufanyika mara moja kwa mwaka na huwa kubwa kuliko makongamano ya kimaeneo. Hadhira lengwa ni watumiaji wote wa ProZ.com. Hivyo, makongamano ya kimataifa ni hafla za Kingereza-tu.

  Makongamano ya kimaeneo kimsingi inakusudiwa kwa watafsiri wanaoishi mahali fulani au kufanya kazi kwa lugha fulani. Awamu katika hafla hii huwa kwa kiingereza au lugha za janibu hilo, na baadhi ya awamu zinaweza kuhutubu maudhui yaliyo ya nia kimsingi kwa wale walio kwenye janibu husika aui kufanya katika lugha teule. Huku waso-fanya na lugha husika wala kuishi kwenye janibu hawatazuiliwa kuhudhuria hafla hizo, ni muhimu kwamba hadhira lengwa iwekwe wazi, ili wale watakaochagua kuhudhuria wasitamaushwe.


 • 3 - Are all ProZ.com conferences conducted in person?

  No, there are also virtual conferences. Virtual conferences are held online and attended by participants all over the world. For more information about ProZ.com virtual conferences please see the related FAQs.


 • 4 - What is a ProZ.com Seminar?


  ProZ.com Seminars are 'mini conferences'. They are typically one day events, smaller, more local than conferences and usually cheaper. They enable participants to go deeper in a given theme/specialization area. They feature 2 to 5 speakers/trainers maxmimum during the day, allowing more in-depth discussions and presentations. The networking and fun aspect of ProZ.com conferences is still present - Seminars end with a powwow.

  Concretely, on the ProZ.com website, there is no difference between Seminars and Conferences. Seminars work exactly like Conferences do - they are listed on the conferences page http://www.proz.com/conference, registration happens the same way, they still have a dedicated page each (with a http://www.proz.com/conference/#event number URL).


 • 5 - Ni nani anayeandaa makongamano ya Proz.com?

  Makongamano ya ProZ.com inaandaliwa na washirikishi wa ProZ.com kushirikiana na mwandalizi wa janibu au wasiliani wa janibu.


 • 6 - Pahali pa kongamano huchaguliwaje?

  Uwepo wa wanachama, miundomisingi ya usafiri, na uwezo wa gharama ya malazi ni maswala muhimu panapochaguliwa pahala pa kongamano.
  Kwa hivyo, kongamano huandaliwa pahala ambapo pana idadi kubwa ya wanachama wa ProZ.com.

  Nia utalii na mila aidha huchangia chaguo la pahala pa kongamano.


 • 7 - Ni nini hutokea kwenye makongamano?

  Makongamano hasa ni hafla ya siku 2 ambayo hufanyika wikendi.

  Kunaweza kuwa na hafla nyingine ambazo zitasadifiana na tarehe ya kongamano, kama vile hafla za mafundisho. Hii itatangazwa kwenye tovuti ya kongamano na kutozwa kando.


 • 8 - Ni nani huenda kwa kongamano?

  Yeyote aliyejisajili na ProZ.com anaweza kuhudhuria, bila kuzingatia hali ya uanachama. Wote marijojo na mashirika yanaalikwa.
  Kila hadhira asajiliwe kwenye ukurasa wa Kongamano – hivyo, iwapo unataka kuja na rafiki au familia ambaye anataka kuhudhuria awamu (awamu, warsha, n.k.) unahitaji kuunda akaunti ya ProZ.com ya mtu huyu. Kumbuka ni haraka, bure na rahisi! Hauhitaji hata hivyo, kuunda akaunti iwapo mlieambatana naye atahudhuria hafla za jamii na shughuli nyinginezo.


 • 9 - Ninaweza kuleta familia/mpenzi/mchumba?

  Ndiyo. Hata hivyo, hakutakuwa vyombo vya kuwatunza watoto kwenye eneo la kongamano. Tafadhali angalia kwenye tovuti kwa maelezo zaidi.

  Watumiaji ambao watapendelea kuleta wageni katika hafla ya kongamano wanaweza kufanya hivyo kupitia tovuti ya kongamano.

  Kuna aina mbili tofauti ya wageni: wanaokuja kuhudhuria kongamano halisi na wale ambao uambatana na hadhira. Tafadhali angalia 3.6 ” Ni nani huenda kwenye makongamano?”


 • 10 - Ninaweza kufanya kazi huku nikihudhuria kongamano?

  Watumiaji wengine wanahofia kuwa mbali na ofisi na kukosa kazi.Nyingi ya makongamano hutoa ufikivu wa mtandao, bure au ada kidogo Kwenye baadhi ya makongamano, ufikivu wa mtandao ni baadhi ya pakeji utakazonunua, lakini hii si kawaida.Ukurasamtandao husika wa kongamano hutoa aina hiyo ya taarifa.


 • 11 - Ninapata BrowniZ kwa kuhudhuria kongamano?

  La. Hamna BrowniZ kwa kuhudhuria kongamano lakini ikiwa utaacha majibu kwa awamu ambazoumehudhuria utapokea BrowniZ 20 kwa kila changizo la jibu.


 • 12 - Mwakilishi wa ProZ.com atahudhuria?

  ProZ.com inajaribu kutuma mwakilishi kwa makongamano yote. Anaweza kuwa mhudumu au msimamizi. Kwa swala hili msimamizi ameteuliwa na wahudumu kuwakilisha ProZ.com katika hafla.


 • 13 - Na kuhusu malazi?

  Malazi hayajumuishwi kwenye ada za kongamano, ila kwa nadra na upekee. Mara nyingi, sehemu ya kongamano ni hoteli ambayo itachukua wengi wa hadhira – waandalizi wanaweza kuwa na mpango na hoteli ya kongamano, kutoa vyumba vya hoteli kwa washiriki kwa ada iliopunguzwa, lakini hiyo si kawaida.
  Hadhira watahitaji kujipangia na mipangilio ya malipo kwa hoteli watakazopendelea.
  Mara nyingi, waandalizi hutoa orodha ya hoteli (viwango vyabei vyote) karibu na eneo la kongamano, kupitia ukurasa mtandao wa kongamano na/au mdahalo wa kongamano. Kwa mswala yote tafadhali shauri ukurasa wa kongamano husika.


 • 14 - Nitajisajilije kwa kongamano?

  Ili kujisajili, nenda kwenye ukurasa husika wa kongamano na, kwenye ukingo kushoto chini ya menyu ya kongamano, teua pakeji ungependa kununua na bofya ‘Nunua Sasa’. Hii itakuelekeza kwenye mfumo wa malipo ambao utakuongoza katika mchakato mzima wa kulipana utoe mbinu tofauti za kulipa (kadi ya mkopo mtandaoni kupitia Paypal, waya uhamisho, Pochi la ProZ.com , Moneybookers, Paypal...).

  Unahitaji kuingia kwenye tovuti ya ProZ.com ili kujisajili kwenye kongamano.

  Kumbuka kubofya kwenye ‘Sajili Sasa’ bila kulipa inakusajili kwenye kongamano – inaonyesha tu kuwa una nia katika hafla. Kiti chako hakitapangwa mpaka ulipe.


 • 15 - Ningependa kujua zaidi kuhusu ratiba ya kongamano. Ni maswala yapi hushughulikiwa?

  Makongamano mengi hutoa aina pana ya awamu kwenye maswala tofauti ambayo ni ya nia kwa wengi wa washiriki ambao hushughulikia maswala ya kiufundi, maswala ya biashara, mijadala katika utaalamu (k.m. tafsiri ya kifedha) na mengineyo. Baadhi ya makongamano itakuwa na maudhui fulani ambapo nyingi ya awamu huangazia kwayo.

  Tafadhali angalia kichupo cha Ratibaya kongamano husika (enda kwenye ukurasa wa kongamano> menyu kushoto> teua “Ratiba”)


 • 16 - Ni aina gani ya awamu nitatarajia?

  Kuna aina tatu ya awamu: mawasilisho, vikundi angaziwa, majadiliano na warsha.

  Mawasilishombinu ya hotuba inafuatiliwa kwa awamu fupi za S&J.
  Vikundi angaziwani awamu za mijadala ambazo hutoa nafasi ya kubadilishana mawazo na watafsiri wenza.
  Majadilianoni mijadala ya kundi.
  Warshani awamu za mafundisho ya mikono. Ili kufaidi katika awamu hii, washiriki kawaida huhitaji ufikivu wa tarakilishi.


 • 17 - Ni nani anaongoza awamu?

  Nyingi za awamu zinaongozwa na wenza kwenye ProZ, lakini kunawezekana kuwe na wasemaji aidha wanje.


 • 18 - Ninahitaji kujisajili katika vipindi husika?

  Kujisajilisha kunahimizwa ili kumpa mwandalizi wazo ni watu wangapiwana nia na ili kuambatanisha vyumba na awamu.


 • 19 - Ni vipi ninajisajili katika awamu?

  Kwenye kichupo cha programu kwenye tovuti ya kongamano, bofya kwenye kiungo cha Kujisajilisha kwa awamu yoyote ungependa kuhudhuria.


 • 20 - Nimejisajilisha kwenye awamu, inanibidi nihudhurie?

  La, lakini iwapo umebadili nia, unahimizwa kuondoa jina lako kutoka awamu fulani, hasa kama mna idadi ya viti viso-tosheleza


 • 21 - Idadi ya watu sajiliwa katika ukurasa wa kipindi iko juu kuliko kiwango kilichoripotiwa kwa ajili ya kozi. Ninaweza kusajili? Nitakuwa na nafasi kwenye kipindi?

  Unaweza kujisajili, huku hakuna ishara ya “kipindi kimejaa” haipo. Hakuna kiwango cha kusajili katika kozi lakini wale tu walio na hali ya “sajiliwa na kulipa” watanunuliwa nafasi katika kipindi. Pindi nambari “sajiliwa na kulipa” ya hadhira inafikia kiwango kilichopangwa, usajili wa kipindi utafungwa.


 • 22 - Inagharimu ngapi kuenda kwenye kongamano?

  Ada ya kongamano hutegemea mahali na bajeti ya kongamano. Aidha kuna gharama za usafiri na malazi sawa na chakula na vinywaji nje ya kongamano ambayo itafanyiwa bajeti.

  Wanachama wa tovuti hupata punguzo kwenye ada ya usajili.


 • 23 - Ada ya kongamano hujumuisha nini?

  Ada ya kongamano hujumuisha udhuriaji wa kongamano. Chamcha, mlo na zamu za chai kwenye siku za kongamano huenda zijumuishwe au zisijumuishwe, kutegemea na eneo. Kurefushwa kwa uanachama haujumuishwi kwenye ada ya kongamano.


 • 24 - Ninalipiaje kongamano?

  Kuna mbinu tofauti za ulipaji kwenye kongamano:

  - Mtandaoni kupitia kadi ya mkopo, PayPal au Moneybookers
  - hamisho kwenye akaunti yako husika

  Kwa maelezo tafadhali angalia kwenye tovuti husika ya kongamano.


 • 25 - I have registered and paid for a conference. Is there anything special I should bring on the day?


  If you have registered and paid for the conference you will be attending, just be sure to bring your ID when you go. There is no need to present the payment receipt or any other proof of registration or payment.

  Check the sessions you will be attending to make sure you won't need anything in particular. It may be a good idea to bring pen and paper or other means of taking down notes or information.

  If you have business cards, be sure to bring a good number of them with you. Conferences are a great opportunity to network with other professionals and agencies, so be prepared!


 • 26 - Nimelipia kongamano lakini siendi. Nitarudishiwa pesa zangu?

  Sera ya ukatizaji inatekelezwa kwa kila kongamano. Tafadhali soma hapo chini.


 • 27 - Ni nini sera ya ukatizaji wa kongamano?

  Sera ya ukatizaji: “Hadhira ambayo ukatiza kushiriki kwao kabla ya siku 30 za tarehe iliopangwa ya kongamano watapokea ada yao ya usajili kutoa 20% ya ada ya usimamizi. Hakuna kurudishiwa fedha ambazo zitatolewa kwa ukatizaji zaidi ya hapo. Kurudishiwa fedha kutakuwa siku 30 baada ya kupokea arifa ilioandikwa ya ukatizaji. Ukatizaji lazima uombwe kupitia baruapepe kote kwa waandalizi wa makongamano ya ProZ.com na Waandalizi wa janibu. Njia nyingine, wanachama wanaweza kutuma pesa zao hadi kwa kongamano jingine bure kulipa tu tofauti ya bei. ”


 • 28 - Sisi ni shirika la utafsiri. Ni nini faida ya mashirika yanayohudhuria makongamano ya ProZ.com?

  Kuhudhuria makongamano ya ProZ.com huongeza mwonekano wa mtoaji kazi na inafungua nafasi ya biashara mpya. Na uwasiliani wa moja kwa moja na marijojo kwa wakati kama huo huchangia kutia nguvu uhusiano wa mtoaji kazi-na marijojo, huku kuwekeza kwenye ukuzi wa taaluma katika shirika na wahudumu wake.

  Chaguo kubwa la nafasi ya kuthaminiwa lipo kwa mashirika oyanayohisi kuongeza taswira namwonekano kwa kuauni kongamano

  Kwa taarifa zaidi, angalia watoaji kazi wanafikiri ninikuhusu makongamano ya ProZ.com


 • 29 - Ninahitaji mwaliko ili nipate visa nihudhurie kongamano. Nitafanyaje?

  Mhudumu wa ProZ.com atasaidia swala hili na atoe barua ya mwaliko unaweza kuwasilisha katika ubalozi husika na ujumbe wanchi yako. Tafadhali wasilisha ombi la msaada, pamoja na taarifa ifuatayo ya barua:
  - Majina kamili (ilivyo kwenye pasipoti yako)
  -Tarehe ya kuzaliwa:
  -Sehemu ya kuzaliwa:
  -Uraia:
  -Anwani:
  -Nambari ya simu:
  -Taaluma yako halisi (na stakabadhi, iwapo zipo)
  -Nambari ya pasipoti:
  -Sehemu pasipoti ilipotolewa:
  -Tarehe yakutolewa ya pasipoti:
  -Tarehe ya kuisha kwa pasipoti yako:


 • 30 - Kuna ada ya kongamano l ililopunguzwa kwa wanafunzi?

  Huenda kukawa na idadi kidogo ya tikiti zilizopo za wanafunzi. Kwa maelezo angalia tovuti husika ya kongamano.


 • 31 - Sina uwezo wa kuhudhuria makongamano yoyote. Kutakuwa na vipindi vingine baada ya hafla?

  Mipango ipo ya kurekodi baadhi ya awamu na iwekwe kwa ununuzi kwa DVD na/au kwa ufululizaji.


 • 32 - Ninawezaje kuacha jibu kwa awamu?

  Unaweza tu kuacha jibu kwa awamu ambayo umejisajilisha kwayo mapema.  Ili kuacha jibu, kwenye tovuti ya kongamano enda kwenye kichupo cha ratiba, tafuta kipindi ambacho ungependa kuacha jibu kwayo na bofya Kiungo Wasilishi cha jibu.Hii itafungua ukurasa na kidadisi fupi.


 • 33 - Nina nia ya kuongoza awamu. Nitafanyaje?

  Tafadhali wasiliana na Mshirikishi wa Mkutanao wa ProZ.com kupitia Fomu ya Maombi ya Hatibu au wasiliana na Mwandalizi wa Kongamano moja kwa moja


 • 34 - Ningependakuandaa baadhi ya hafla za jamii kwenye kongamano. Nitafanyaje?

  Tafadhali wasiliana na waandalizi wa makongamano kupitia umbo lake.


 • 35 - Ningependa kusaidia kuandaa kongamano. Nitafanyaje?

  Tafadhali wasiliana na mwandalizi wa kongamano kupitia kwenye umbo lake. • Main - Top
  Your current localization setting

  Kiswahili

  Select a language

  All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search