KudoZ™ mtandao wa msaada wa tafsiri

KudoZ™ hutoa kwa watumiaji wa ProZ.com njia ya kusaidiana kati yao, na wageni, msaada wa bure katika kufasiri istilahi ngumu.

Je, una ugumu wa kufasiri istilahi ngumu? Tuma swali la KudoZ

Kwa msaada wa kufasiri istilahi au msemo mfupi, tuma swali la KudoZ na toa muktadha, lugha inayotakiwa kufasiriwa, na maelezo mingine ya ziada. Baada ya kutuma swali lako, watumiaji wa ProZ.com hivyo watapendekeza tafsiri na maelezo, na wakati mwingine marejeo.

Subiri majibu, chagua jibu linalofaa zaidi

Kwa msaada wa kufasiri istilahi au msemo mfupi, tuma swali la KudoZ na toa muktadha, lugha inayotakiwa kufasiriwa, na maelezo mingine ya ziada. Baada ya kutuma swali lako, watumiaji wa ProZ.com hivyo watapendekeza tafsiri na maelezo, na wakati mwingine marejeo.

Swali na jibu lililochaguliwa huifadhiwa

Swali hilo na tafsiri iliyopendekezwa huifadhiwa na kuanzia hapo na kuendelea hupatikana kwa mtu yoyote.

Muhtasari wa tovuti

Mtazamo wa haraka wa vipengele vinavyopatikana katika ProZ.com
All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search