KudoZ™ mtandao wa msaada wa tafsiri

KudoZ™ hutoa kwa watumiaji wa ProZ.com njia ya kusaidiana kati yao, na wageni, msaada wa bure katika kufasiri istilahi ngumu.

Je, una ugumu wa kufasiri istilahi ngumu? Tuma swali la KudoZ

Kwa msaada wa kufasiri istilahi au msemo mfupi, tuma swali la KudoZ na toa muktadha, lugha inayotakiwa kufasiriwa, na maelezo mingine ya ziada. Baada ya kutuma swali lako, watumiaji wa ProZ.com hivyo watapendekeza tafsiri na maelezo, na wakati mwingine marejeo.

Subiri majibu, chagua jibu linalofaa zaidi

Baada ya majibu ya kutosha kufika, jibu linalofaa zaidi linaweza kuchaguliwa. Mtu ambaye ametuma jibu lililochaguliwa huzawadiwa pointi za KudoZ. Pointi za KudoZ ni kigezo kikubwa cha kuchanganua wafasiri na wakalimani katika saraka.

Swali na jibu lililochaguliwa huifadhiwa

Swali hilo na tafsiri iliyopendekezwa huifadhiwa na kuanzia hapo na kuendelea hupatikana kwa mtu yoyote.
KudoZ™ translation help
Mtandao wa KudoZ unatoa mpangilio kwa watafsiri na wengine kuweza kusaidiana na tafsiri au maelezo istilahi na kauli fupi.See also:Your current localization setting

Kiswahili

Select a language

All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Kutafuta neno
  • Kazi
  • Mabaraza
  • Multiple search